Recent content by upendo mkinga

  1. U

    Ajali: Treni yaangusha Mabehewa maeneo ya Vingunguti

    Viongozi wacheki Mara kwa Mara reli zetu. Mana intasha sana...... ..
  2. U

    Madaktari wa Kitanzania wajitolea kwenda Siera Leon na Liberia kutibu Ebola

    Mungu awatangulie madaktari wetu. Tz mungu ibariki.
  3. U

    Hatari: Majambazi yenye silaha kali yameteka na kupora mara tatu huko Rombo

    Mungu tuepushie majanga haya. Linda amani yetu ya tz
  4. U

    Mwanafunzi wa chuo amuua mwanae na kumficha uvunguni

    Kina mama tuwe na huruma.na hofu ya mungu.huo mi ushetani mtupuuuu!
  5. U

    Mungu ilaze mahali pema peponi roho ya marehemu, hii ni sala au kanuni

    Kwa imani yet wakristo inapaswa kuwaombea walio tutangulia.kiimani zaidi.
  6. U

    Flora Mbasha aandaa mkakati kuondoa "Mbasha" katika utambulisho wake

    Flora' na mbasha mpigieni mungu magoti mtubu' mana nyie ni viongozi wa kondoo
  7. U

    Ajali mbaya eneo la Makongo: Watu 18 wahofiwa kupoteza maisha!

    Kila roho itaonja umauti.tujiweke tayari' hatujui Siku SAA wala sekunde. Mungu wakumbatie
  8. U

    Wanenguaji wa 'Kanga Moko' wapigwa Risasi

    Waache kabisa. She ria chukua mkondo wake.
  9. U

    Wanenguaji wa 'Kanga Moko' wapigwa Risasi

    Wawe mfano kwa wengine.waache kabisa. Hill no fundisho
  10. U

    Hi tabia wanawake mmeitolea wapi

    Si ajabu kusaidiana majukumu.ni taratibu mlizo jipangia( wapendanao) husaidiana bana
  11. U

    Ndege ya Air Tanzania yaponea chupuchupu kuanguka

    Tupendane jamani' dunia inakwenda wapi!
  12. U

    Moto wa kisasi unawaka ndani yangu!

    Inauma sana il a mwachie mungu.sisi sote tu wasafiri.haina haja ya kisasi maana hakuna jinsi ya kurudisha uhai wa Mzee. Mungu akupe nguvu
Back
Top Bottom