Recent content by up-grader

  1. U

    JamiiForums Tanzania higher than average returs for relative less risk busines

    lets say i have a business idea that 1. have a maximum of 4 month payback period -you get all your investment back in 4 month. 2. more than 250% annual returns on average 3. can be done on part time basis from anywhere, etc. wouldn't that interests you? well if it does PM me your number...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Je mtu anaweza fungua kesi ya madai katika hili?

    1. kwani umeshajua matokeo ya round 5? 2. Unasababu yoyote ya kufikiri hautendewi haki? 3. unajua referee wako -kama wametafutwa wamesema nin? inaweza kuwa sababu pia..... kimsing hata ukishapewa offer bado kuna probation period within which eather side can terminate contract HUNA CHA KUDAI.
  3. U

    JamiiForums Tanzania Soko la bata maji (Muscovy Duck)

    1. kuhusu soko nimewauliza watu wenye vibanda kadhaa sinza na keko, wao wanauza btn 20-25 kwa bata wa kawaida madume arround 25-30, isipokuwa wanataka uache bata wako uchukue hela wakishauza.... kimsing hawa hawana mtaji kwahiyo kwa biashara ya bata wachache mnaweza fanya na uwe mvumilivu...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Soko la bata maji (Muscovy Duck)

    Habari wadau, Nina mradi wangu mdogo wa bata, kwa sasa wapo kama 50 ukiweka na watoto, mpango wangu ni kuzalisha mpaka nifikie uwezo wa kuzalisha atleast bata 100 kwa mwezi ndani ya mwaka mmoja, 200-500 ndani ya miaka miwili. kwenye suala uwezo wa bata kuzaliana sina shaka kwani nilianza na...
  5. U

    JamiiForums Tanzania TRA Tax Assessment and returns

    mkuu mabwepand amaiweka vizuri sana, kwa income tax hapo umemaliza. hiyo ni ukitaka kulipa kodi yote,.......... ukitaka kuwa tax efficient kwa kupanga namna unavyofanya matumizi yako (tax planning), ni PM tuone kama kuna namna waweza fanya. finacial reporting should balance between credit...
  6. U

    JamiiForums Tanzania mafuta ya mbegu za mawese

    hasanteni kwa taarifa
  7. U

    JamiiForums Tanzania mafuta ya mbegu za mawese

    mkuu, kwa faida ya wengi, haya mafuta yanamatumizi gani? faida zake nini? etc.. etc natanguliza shukrani
  8. U

    JamiiForums Tanzania Habari zenu,

    Kwanza natanguliza shukran kwa wana JF wote kwani nimekuwa nikinufaika saana na taarifa nyingi, ningependa kuwa active member, Mim ni mfanya kazi, na mjasiriamali, naishi Dar. ni mtaalam wa mabo ya uchumi na kodi (economics, accounting, finance & tax), ni mfugaji pia, kwa sasa kuku, bata na...
Back
Top Bottom