Recent content by Unyanga

  1. Unyanga

    Mbowe na Zitto Acheni upotoshaji: Siasa za ramli hazina nafasi

    Jina lako halisadifu ulichokiandika
  2. Unyanga

    Limbu: Zitto ajiunga ACT Tanzania Kinyemela

    mie kadi yangu ya chadema nilipewa saa tatu usiku
  3. Unyanga

    Maumivu ya kichwa hasa nyakati za asubuhi

    Naomba msaada wa kufahamishwa juu ya tatizo linalonisumbua la kuumwa kichwa kila mara ninapoamka usingizini, na ninapofanya kazi kwa muda mrefu kwenye laptop, au ninapoangalia tv hasa kwenye vibanda umiza ambapo mwanga huwa mdogo zaid ya ule wa tv peke yake! Naomba msaafa tafadhali
  4. Unyanga

    Zitto: Wapambe wametufitini na Mbowe

    kwani kaomba msamaha?
  5. Unyanga

    Mbowe: Ni kweli UKAWA tulifikiria kujitoa bunge la katiba!

    Zitto kaingiaje hapa wewe mama mjamzito??
  6. Unyanga

    Uhuru siyo kama marais wengine Afrika Mashariki, oneni

    Ridhiwani anaweza ngoja apewe chalinze pale! Na yy si mtoto wa rais ata act kama mtoto wa rais wa kenya
  7. Unyanga

    Hata angekuwepo,CHADEMA ingeshindwa pale Kalenga!

    Hivi ni kwa nini cdm wanvuajihakikishia kuwa watu wote ambao hawajaandikishwa ndo wapiga kura wao? Wana uhakika Gani? Hivi wangekuwa makin Si wangejipanga na kuchukua kura za hats hao waliokwishaandikishwa tayari!kubalini kushindwa bhana
  8. Unyanga

    Hata angekuwepo,CHADEMA ingeshindwa pale Kalenga!

    Haihitaji mtu akili ya darasa la saba kutambua uwezo wako mdogo! By only single variable ume jump into conclusion! Ptuuuuu! Akili za BAVICHA hizo
  9. Unyanga

    Rais Kikwete afanya Mabadiliko katika Baraza la Mawaziri - Jan 19, 2014

    Hivi pinda amebakia? Nitashangaa kama mzigo pinda haujamchosha kikwete
  10. Unyanga

    My Political Analysis on Jambo Leo: Unaweza Kuudanganya Umma kwa Muda Mfupi tu, Sio Wakati Wote!

    Mkuu nitumie hiyo picha kwenye avatar yako aisee
  11. Unyanga

    Meya atwangana ngumi na diwani CHADEMA. Kwa sasa hali ilipifikia CHADEMA Makao Makuu waingilie

    Yule shetani matata aliyefundishwa u shetani na cdm, sasa ana wa hunt back cdm
  12. Unyanga

    Live kutoka Arusha, Kongamano la CHASO - yupo Lissu, Lema, Golugwa na wengine

    Lissu anataka kutuambia hata kanisani tunavyopiga makofi huwa tunaishangilia ccm? Duh! Kweli
  13. Unyanga

    Prof. Baregu azungumzia kadhia ya Zitto Kabwe

    Ndio maana nimesema unahitaji msaada wa kifikra! Huwezi ukawa na akili ndogo kisha ukaitambua akili kubwa hata siku moja
Back
Top Bottom