MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,279
Duh..hivi mtu anaweza kujenga nyumba halafu akazuiwa kuingia humo?[/QUOTE
mambo mengine si kubisha tu...jaribu uone....tuma pesa ujengewe nyumba!!!
ha ha ha wacha ajaribu!!
Mbona CHADEMA wanasema ACT imeasisiwa na Zitto?
Mbona CHADEMA wanasema ACT imeasisiwa na Zitto?
mashikolo mageni getteh ng'wana wise
Duh..hivi mtu anaweza kujenga nyumba halafu akazuiwa kuingia humo?
Kuasisi hakukulazimishi kujiunga, unaweza ukajenga nyumba lakini usiishi wewe humo, kaasisi ndio lakini ACT hawatoi kadi usiku na ofisi zao huwa hazifunguliwi usiku why ZItto apewe kadi usiku? na utakuta alisahau hata kuilipia.
Kama Mwigamba anavyodai, mwanachama anaweza kugombea uongozi siku sita baada ya kujiunga.
Kwa vile uchaguzi wa ACT upo this week end, Zitto alifanya hivyo ili ameet hicho kipengere la sivyo angepoteza sifa ya kugombea huko ACT. MM hakuijua katiba vizuri kwa vile waandishi walikuwa akina Mwigamba na Kitila!! Hivyo ilibidi ashituliwe faster faster!!
Kiongozi, kama una tetesi zaidi tunaomba utuongezee mwanga. Limbu alibainisha katiba ya ACT inataka zitto ajiunge kwa mtindo upi?
Ninachokiona mimi, Zito amepoteza hesabu kidogo. Hakujua tatizo lake na CHADEMA ni lipi, na akajua akihama litakwisha. Alitakiwa amalizane na CHADEMA kwa amani. Tatizo la mjukuu wangu Zito ni kiburi na maringo.
Mjukuu ni mbishi, hataki kukosea hata pale kakosea. Hataki kuonywa wala kuelekezwa anapokwenda nje ya njia eti kwa kuwa juzi alikuwa katika njia sahihi. Ni mtu wa mashindano na visasi vya kichini chini.
ACT pamoja na kuiasisi, lakini aliiacha msituni sasa inawamiliki wengine, na inavyoonekana kwa sabbu zao zozote bado hawamtaki Zito. Zito ataishi maisha ya vita katika safari yake yote ya kisiasa, unless ajifunze kubadilika.
Ameondoka CHADEMA kwa kufukuzwa, yeye anaita kung'atuka. Ameondoka kwa migogoro ya kutoelewana na viongozi wenzake na hakutaka kutafuta amani, akitegemea mashabiki wake watashinikiza CHADEMA imwache, bado anatembea na ubabe uleule. Hausaidii.
A lizard in Africa, can not be a lion in China!.
Nyie kila anayemzungumzia ZZK ni Chadema, jee huyu naye ni Chadema? Wanaomjua vyema ndio wanaomzungumzia.
View attachment 237694
Nyie kila anayemzungumzia ZZK ni Chadema, jee huyu naye ni Chadema? Wanaomjua vyema ndio wanaomzungumzia.
View attachment 237694