Recent content by Unum1_yote

  1. Unum1_yote

    Diamond Platnumz: Niliibiwa Tsh. Bilioni 4 niliyotaka kununulia ndege

    [emoji445][emoji445]Uooooongo huo ni uongooo[emoji445][emoji445][emoji444] uongoooo[emoji444][emoji444][emoji444]
  2. Unum1_yote

    Magazeti ya kigeni na uwepo wake nchini kwetu

    Jamani ndugu zangu wa JF hiviii hii imekaaje eti.. Kuna magazeti najua tubakutana nayo sanaaa ya kichina, kikorea, Kachina, mara kihindi hujakaa sawa Kiara kiarabu. Yapo nchini mwetu kwa wingi wa kutisha tu kiasi kwamba wauzaji hawauzi moja moja tena wanauza kwa kilograms na tunafungashiwa sana...
  3. Unum1_yote

    Kama ndoa zenyewe ndiyo hii wakuu aisee naungana na watu wa kataa ndoa,ndoa ni utumwa

    Ukiona hivo, Mwanamke ulie nae alikubali kuolewa na wewe kutoka na hoja nyingine ambazo kupitia wewe aliona atazipata kwa urahisi zaidi. Hakukupenda wewe kama wewe. Kama angekua amekupenda wewe,hivo vitu vyote unavyomlazimisha kufanya angekua yeye ndo anakulazimsha akufanyie , Angela mani...
  4. Unum1_yote

    Natafuta mpenzi, mchumba

    [emoji3064][emoji3064][emoji3064] mapema tu upige mzinga.. Mbona hatari
  5. Unum1_yote

    Natafuta mpenzi, mchumba

    Unahoja ..nimeisikia
  6. Unum1_yote

    Natafuta mpenzi, mchumba

    Wanene jamani punguzeni kula [emoji28][emoji28]
  7. Unum1_yote

    Natafuta mpenzi, mchumba

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  8. Unum1_yote

    Wanawake acheni kuchagua sana wanaume, mnavunja sana mioyo yao

    Kutolia unapopitia magumu si ishara ya uanaume au ukomavu, sometimes tunalia kupunguza machungu si kwa sababu kwamba tumekua wadhaifu saana,Lahasha. Ila ukweli ndo huo ulio usema "wanaume tumekua wahanga wakubwa sasa kwenye suala la mahusiano na mapenzi Kadri nyakati zinabokwenda mbele"
  9. Unum1_yote

    Wanawake acheni kuchagua sana wanaume, mnavunja sana mioyo yao

    [emoji28][emoji28][emoji28][emoji119]
  10. Unum1_yote

    Wanawake acheni kuchagua sana wanaume, mnavunja sana mioyo yao

    Asante kwa utililivu wa busara na hekima kubwa mkuu.. Na naichukua hiyo falsafa yako kama nguzo kuu itakayonilinda kwenye dhoruba...
  11. Unum1_yote

    Wanawake acheni kuchagua sana wanaume, mnavunja sana mioyo yao

    [emoji28][emoji28][emoji28] Kuna asilimia uko sawa kabisaaa mkuu
  12. Unum1_yote

    Wanawake acheni kuchagua sana wanaume, mnavunja sana mioyo yao

    Asante mkuu Na kwa kuamini pengine si mimi peke yangu basi nimeamua kushare
Back
Top Bottom