Recent content by unprejudiced

  1. U

    Kwanini Dialysis Zanzibar ni bure na Tanzania bara 180,000 kwa siku

    Hivi mnaelewa tofauti ya watu 60 mil Vs 1.5 mil. Kwa uchumi gani na kwa Kodi gani tunayolipa kuweza kulipia watu 60 m. Tuache kuzaliana na kila mkoa Uwe na watu one m. Tuunde independent Mini states uone.
  2. U

    Wajamaa mnisaidie, hivi Nyerere aliwezaje kuvumilia haya?

    Mkuu una umri gani? Ulipigana vita vya kagera? Tanzania Ina umri wa miaka 62 sasa. Umri wa mtu bado anaishi. Na kama ni huku ulaya Basi ataitwa noch Jung. Je unadhani kuanza au mwanzo ni rahisi. Umaendika as if Kenya waliokuwa na ubepari watu wake wanaishi Kama wa Luxemburg [emoji1152]. Kama...
  3. U

    Kwani Makonda alitenda dhambi ngapi? Mbona anataka kuombewa na kila mtu?

    Kwani wewe dini moja na Huyu Mheshimiwa? Unamiliki mpaka maisha yake na kiroho na kisiasa? We ni Chadema. Demokrasia na maendeleo. Je unaheshimu uhuru na nafasi ya Wenzako? Je huna sera za kumwagia watu kuhusu Chama chako? Normally Hakuna mtu timamu, tajiri na mfia Chadema Kama wewe angeweza...
  4. U

    Kwanini viongozi wa dini wamejikita kushirikiana na viongozi wa chama tawala pekee? Mungu alikataza kushirikiana na wapinzani?

    Wewe umejuaje. Tell us about yourself. Aliyekwambia wema Tu ndo wanaombewa ni nani? Je kumwombea mtu Ni hitimisho? Ni kuomba. Ni Ombi. Hata wewe unampaga hela mwanao. Mkeo au nk. Na kunwonbea safari njema. Maombi yako yamejikita katika uwezo na upeo wako. Mkeo au mwanao akiamua Badala ya kwenda...
  5. U

    Tundu Lissu: Makonda ni mhalifu mkubwa sana hapa Tanzania

    Una uhakika mkuu? Sisi tusio na Vyama tunajua Nyie Vyama viwili lakini hasa aina ya wewe au vijana wa shule ya msingi mnaowatumia au Labda kubwa Jinga wavuta mambo, ndo wanaongoza sio tu kwa matusi bali pia kulazimisha wanachopenda wao Basi kila mtu afuate. Pitia uzi mbali mbali za mtu akitumia...
  6. U

    Je, mama analikimbia kundi lililompigania kuhakikisha anakikalia kiti? Kwann?

    Kwanini unaonekana kuwa Mr or Mrs mtabiri na muota ndoto. Kwanini CCM ikupe Shida. Naona Tz wote wanaCCM. Mana hamna ubunifu wala maono. Mnatembelea ndoto na utabiri. Hawa wanasiasa wanajua wapi wanatoka na wapi wanataka kwenda. Hawana uadui wa kihivyo. Makundi mnatunga wenyewe kwa interests...
  7. U

    Mtifuano kati ya Maria Sarungi na Martin Maranja unatufundisha CHADEMA na wanaharakati wanaandaa watu wenye akili timamu

    Adabu na ustaarabu na kuelimika hakutokani na matendo ya mtu mwingine. Ni wewe binafsi. Lugha na staha yako haiwezi kukufanya eti utukane kisa unahisi kiongozi kaiba kura. Acha bangi.
  8. U

    Nimekutana na rafiki yangu mwarabu tuliesoma shule ya Msingi, Nasikitika kuona wageni wanavyotajirika huku wenyeji tumeridhika na vimafanikio vidogo

    Mnaishi kwenye nadharia sana watu wa JF. Kuna watu wengi sana wamejinyima sana kuleta Mitaji, matrekta na hata hela za kujenga nyumba kwa wadogo, kaka na dada na ndugu zao. Hao wanaoletewa hula hela, huua matrekta na Kula hela za ujenzi na mtoaji Yuko ulaya au mkoa mwingine na nyumbani. Shida...
  9. U

    Kama Mbowe na Tundu Lissu hawatagombanishwa kufikia Uchaguzi mkuu 2025 basi CHADEMA itafanya Vizuri sana kwenye Uchaguzi mkuu!

    Mkuu Lissu na Mbowe hawezi ongoza nchi hata ya Panya. Waendelee kutuburudisha Tu majukwaani. Tanzania inataka watu wakali na wenye maono. Sio hao wanaodaiwa Fadhila na wanaowawezesha.
  10. U

    RPC aliyemkamata mwimbaji wa "wanatuona nyani tu" apewe "maua" yake

    mungu gani huyo wa ukoo wenu au Mungu wa huruma na Upendo. Angekuwa mkali Kama unavyotaka wewe, unahiisi ukijichunguza kwa dhati wewe utatoboa?
  11. U

    Nini siri ya Bashungwa kuhamishwa Wizara kila mara?

    Reasoning yako Ina Shida kubwa sana. Je una chuki binafsi na huyo mkuu. Wizara tano. Zote muhimu Afu sababu iwe wanashindwa kumtema. Are you ok upstairs.
  12. U

    Kwani kumkosoa Rais ni kosa? Kwahiyo tunyamaze tu? Huo sio uungwana ndugu zangu

    Je wewe unamkosoa baba yako au mama yako Kama ndio how Kwa matusi?
Back
Top Bottom