Dah! TANZANIA unatupeleka wapi waja wako? Viongoz hebu iweni na huruma kwa sisi wananchi wa pato la chini. Mbona vyanzo vya mapato ni vingi mno ktk Tanzania yetu yenye neema! Ah, haya bwana.
Angalau sasa mambo yamekaa sawa,nilishtuka sana kuskia tozo za barabara kwa 'malori ya tz' kwenda Rwanda zimepanda ghafla kutoka dola 152 had 500?! hongera Jf hongera NW Bw Tzeba
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.