Recent content by Unga robo

  1. U

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Kutoka Ikulu: Mahojiano ya Rais John Magufuli na Wahariri wa Vyombo vya Habari

    Mzee JK kula bata na kware kwa raha zako! Tunakukumbuka sana,binadamu mdomo kapewa maana wapo ambao wanamlaumu mwenyezi Mungu sembuse wewe mtani!
  2. U

    JamiiForums Tanzania Kuna uhamiaji mkubwa watu kutoka mtandao A wa Simu kwenda mtandao B wa simu...

    Leo voda kweli wamenivua nguo! Yaan nimejirusha ile ya dakika 50 ili nilonge na mkwe, chini ya dakika 10 kitu kinadai eti ongeza muda umekwisha!! Sina hamu nao tena na jambo hili si mara ya kwanza kunitenda
  3. U

    JamiiForums Tanzania Msaada kwenye incubator

    Mkuu naomba kuuliza,ni incubator ipi (brand name) kama hizi local au za nje ambazo zinafanya vizuri? Pia na bei kama unafahamu itakua poa. Asante
  4. U

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mtangazaji wa Channel ten Cassius Mdami afariki dunia

    R.i.p bro,daima tutakukumbuka!
  5. U

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Kuna tatizo kwenye mfumo wa ABS,yaweza kuwa waya wa sensor kwenye moja ya mfumo kwenye tairi umekatika,nk
Back
Top Bottom