Recent content by Undetectable

  1. Undetectable

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Fao la Kujitoa limerudishwa kisheria, kwanini NSSF hamtangazi? Kwanini mtu akitaka hela zake zote (Lump Sum) anazungushwa?

    Kuna jamaa yangu amefanya kazi sekta binafsi kwa miaka 12, tangu mwaka jana afya yake ilianza kuleta changamoto mpaka siku nyingine kushindwa kwenda kazini. Anatamani aache kazi,ikibidi achukue chake mapema kwa faida ya familia yake. Je,inawezekana kupewa chake baada ya kuacha kazi? maana...
  2. Undetectable

    JamiiForums Tanzania Kwa kauli hii ya Tundu Lissu kuna ulazima wa kufanya maboresho makubwa kwenye Jeshi la Polisi

    Mimi niliuza kiwanja changu kizuri sana baada ya kugundua jirani zangu wawili ni askari polisi. Haya majamaa hayahaminiki kabisa...kukuangushia jumba bovu ni sekunde tu.
  3. Undetectable

    JamiiForums Tanzania Tafakari na picha

    Hakuna shida..haya matukio yanatokea kwa mipango na makusudi maalum.
  4. Undetectable

    JamiiForums Tanzania Huyu mwamba alilia sana kwenye msiba wa Raisi Magufuli

    Nasikia huyu jamaa kwao ni Mtwara!
  5. Undetectable

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Bashiru ajitenga na Polepole, asema awamu ya 6 inafanya vizuri zaidi

    Lukuvi anayo mengi ya kusema,lakini anaogopa kulishwa sumu.
  6. Undetectable

    JamiiForums Tanzania Hekaya za Polepole vyaanza kudoda

    Yaani nikose kumuamini Pole pole anayezijua hadi kona zote za Ikulu nikuamini wewe mvimba macho wa Itilima ndani ndani huko!
  7. Undetectable

    JamiiForums Tanzania “The birds will be flying high tomorrow”

    Nimekumbuka ghafla zile "Punch" za chuoni.
  8. Undetectable

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimekubali bora nigharamikie tu lakini kamwe sitakuja kununua malaya

    Umemaliza kila kitu..uzi ufungwe! Changamoto ni kwamba,kuwalinda ndio kipengele haswaa.
  9. Undetectable

    JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu: Allah ndie mpangaji na alipangalo ni bora kwetu. ALHAMDULILLAH

    Angemfichia siri mwanamke mwenzie.
  10. Undetectable

    JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu: Allah ndie mpangaji na alipangalo ni bora kwetu. ALHAMDULILLAH

    Adui wa mwanamke ni mwanamke.
  11. Undetectable

    JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu: Allah ndie mpangaji na alipangalo ni bora kwetu. ALHAMDULILLAH

    Aliongea nini? binafsi,nilikuwa namkubali.
  12. Undetectable

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Lipia tangazo.
  13. Undetectable

    JamiiForums Tanzania Naanza kuamini yale niliyoyahisi mwaka 2021!

    Ipo siku kuna mtu au watu watakuja kumwaga ushahidi mchana kweupee.
  14. Undetectable

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mamelodiiiii😁😁 nshakosa pesa ya weekend.
  15. Undetectable

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

    Felakuti nekiwaa Osonakoluna,osonakoluna
Back
Top Bottom