Recent content by Undergraduate

  1. U

    JamiiForums Tanzania Baada ya kushinda uchaguzi mkuu kwanini waheshimiwa huzitupa timu zao za kampeni?

    Mkuu kwani ulitaka wafanyweje,kipindi cha kampeni hao watu unaowasema nao huwa wanawakamua sana wagombea,acha wasaulike tu
  2. U

    JamiiForums Tanzania Lukuvi: Nitamchukulia hatua mfanyabiashara aliyempa Makonda ardhi kwa ajili ya Viwanda

    Wanajamvi naombeni msaada nataka nipost mada mpya nashindwa lakini kureply mada naweza....
  3. U

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ametudhalilisha Sana Watanzania

    Kaka umeingia muda huu kutoka nchi gani manake inavoonekana tumekuacha mbali sana na wewe unajitahidi kudandia treni kwa nyuma
  4. U

    JamiiForums Tanzania AJALI: Watu kadhaa wafariki wakitokea Rombo kwenye Miaka 40 ya CCM

    Poleni sana wafiwa wote mbele yetu nyuma nyuma yenu, Bwana ametoe bwana ametwaa jina lake rihimidiwe....Amen
  5. U

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Rais Magufuli na bodi ya TRA

    Malisa unaongea sana sijui na wewe ni mnufaika wa hilo deal? Bodi inapoteuliwa lazima wajumbe angala Malisa unaongea sana sijui na wewe ni mnufaika wa hilo deal? Bodi inapoteuliwa lazima wajumbe angalau 2 wawe wabobezi wa maswala ya fedha,kwa hiyo bodi inatakiwa kila aina ya muamala wajue...
  6. U

    JamiiForums Tanzania TB Joshua aondoa utabiri wa ushindi wa Clinton Facebook

    TB Joshua anapoteza Imani kwa wafuasi wake bora awe anakaa kimya tu
Back
Top Bottom