Recent content by uncle

  1. U

    Kupanda kwa bei za vyakula Serikali iwajibike

    Miezi ya mwanzo wa mwaka 2023 Bila ubishi tumeona kupanda Sana kwa bei za vyakula. Hii imekuwa wazi mno Halina mjadala kama tulivyozoea kulishwa na mamlaka husika mfano NBS wakusanya takwimu waje na takwimu ndio waseme kuna mfumuko wa bei katika bidhaa za vyakula. Kiukweli bei zimepanda Sana...
  2. U

    Hali ya vivuko vya Kigamboni inazidi kuwa mbaya

    Naomba kwanza nikiri mimi ni mkazi wa Kigamboni ambaye karibu Kila siku ya Mungu natumia vivuko vya feri. Najua sio mada mpya Sana hapa jukwaani wengine wengi wameshaijadili hapa lakini kwa msisitizo naleta hii mada tena nikiwa naamini JamiiForums ni jukwaa pana, mada za humu ndani zinasomwa na...
  3. U

    Wahitimu wengi wa vyuo vikuu hawana maarifa ya kufanya mabadiliko chanya kwao na kwa jamii

    Hivi kwa huu utaratibu wa vyuo vingi tulivyo navyo hapa nchini tunatarajia hawa wasomi wetu watatutoa kweli. Vyuo vingi vinatoa wahitimu wengi lakini ambao wanakosa sifa za kiusomi kwa sababu nyingi. Na hizi ndizo nilizobaini kwanza uwezo mdogo wa hao wanachuo wenyewe katika mazingira ya...
  4. U

    Haki za mteja

    Hivi sheria inampa haki gani mteja wa Makampuni ya simu anapokosa huduma za kampuni husika kwa makosa yao kama tigo pesa kutokuwa hewani kwa masaa kadhaa.
  5. U

    Tukio la Moto lilitokea leo Magomeni Mapipa, na kuteketeza kila kitu

    Kwa taratibu za kawaida pamoja na upangaji mzuri wa miji. Hizi fire 'fire hydrant' zinapaswa kuwepo katika sehemu zake. Kwani ili gari la zimamoto lifike kwa wepesi na haraka sehemu ya tukio linatoka kituoni likiwa na maji kiasi na kujazia maji kwenye hizo 'fire hydrant'' zilizoko barabarani...
  6. U

    Ballon d'Or 2021: Lionel Messi ashinda tuzo ya saba ya Ballon d'Or ambwaga Lewandowski

    Niko na mawazo tofauti juu ya hizi tuzo za kila mwaka. Namna mshindi anavyopatikana . Sidhani kama wapiga kura kweli wanaangalia vigezo vya mchezaji katika kuwakilisha klabu au taifa lake. Nahisi wanapelekwa zaidi na mapenzi yao kwa mchezaji mmoja moja. Wanachagua kwa hisia zaidi. Hivyo...
  7. U

    Machinga ni yupi?

    Cha ajabu wale tuliowaita machinga waliovunjiwa vibanda wapo kwenye maduka kama masoko ya kisutu na kwingineko hivyo kumbe umachinga ilikuwa plan b yao kukwepa kodi
  8. U

    Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    Pongezi kwa Serikali awamu ya tano chin ya Rais marehemu JPM kwa kazi nzuri ya kujenga masoko mazuri yenye miundo mbinu yote yanayohitaji na wafanyabiasha. Leo kwa mara ya kwanza nilitembea soko la kisutu. Kweli kazi imefanyika sasa tunawajibu wa kulitunza ili lengo litimie . Hamna msongamano...
  9. U

    Machinga ni yupi?

    Machinga ni yupi? Nimeanza na swali baada ya kuona post ya mdau akielezea athari za kiuchumi baada ya machinga kuondolewa katikati ya jiji na mikoa mengi au hapa miweke sawa kwa lugha ya Rais wetu kuwapanga wamachinga toka sehemu isiyo kuwa rasmi kuwapeleka sehemu rasmi sasa hapo kutokana na...
  10. U

    Rais Samia kuwa Mgeni Rasmi Kilele cha Uzimaji wa Mwenge Kitaifa Chato 14/10/2021

    Hakika Leo ndio nimeona umuhimu wa mbio za mwenge. Uendelee
  11. U

    #COVID19 Rais Samia azindua Kampeni ya Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya COVID-19 Jijini Dodoma

    Inapelekea huu mkutano wa Leo uzinduzi wa kampeni ya maendeleo kwa ustawi wa taifa na mapambano dhidi ya uviko 19 umetumia fedha nyingi sana. Nikifuatilia utangulizi wake utangamua Hilo kwa idadi kubwa ya waalikwa
  12. U

    Uongozi wa rais Samia unafanya mengi na kwa dhati kurekebisha na kuendeleza nchi kiuchumi, kisiasa na kijamii

    Tuangalie utendaji wake na matokeo ya utendaji kiukweli matokeo makubwa tutakuja kuyapata kimaendeleo. Naamini hivyo kwanza kwa sababu Mama anapita katika zile njia allizotengeneza marehemu JPM na pili mambo yanakwenda kimkakati
Back
Top Bottom