ndugu hyo nyimbo nenda google wala upati you tube amna hata huko jaribu utaona kuna nyimbo azipatikan kirahisi mfano hata ile aliimba ali choki mwaka wa tabu nayo utaangaika sana
hv ingekuaje yanga ingekua kama enzi zile zA manji na simba uikute ipo on fire kama sasa na azam na yenyewe uoni hata ligi ingekua na mvuto ilaa yote hii ni migogoro inasababisha
Hellow wana JF mu hali gani mimi mgeni jamani napenda sana kufuatilia mada zenu ila leo nimejiunga rasmi ila kuna vitu vinanichanga hasa kwenye hii app ya JF
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.