hutakiwi kumdharau adui alieamua vita aisee hata kama wewe una mwili kama mlinzi wa diamond na wewe unakamwili kama ka Joti unatakiwa kupambana kabisa huku ukijua unapigana na mwanamme mwenzio.
Sasa simba baada ya bao mbili wakaanza madharau matokeo yake ndo hayo
Nilitaka tu povu lako mkuu na mrembo wako Demiss, ila kwani mkuu kutoifahamu Dar ni ushamba au kuifahamu ni ujanja?
Kama nakuona ulivyokua unatokwa jasho mzee wa kitambaa cheupe imebidi uigoogle kabisa hotel
Sina usemi ila sikujua kama ndo wewe ulikua unafanyia mapigo ya chungulia sasa GuDume alikua anazunguka zunguka kwa nini asingetuambia tu show la kibabe lilikua kati yake na mrembo Demiss
Hatari sana mkuu, nilikua namwamini kiasi chake huyu jamaa ila leo ndio hata kale ka uaminifu kangu kamepotea kabisa nabaki kumsoma tu kama mtunzi wa story
Leo katika pitapia zangu mitaa ya Mugabe hapa Sinza nikiwa natoka zangu Law School ghafla nakutana na ukuta umeandikwa "Parking at Owner's Risk" ghafla nakumbuka uzi wa brother Gudume na style yake ya kingkiki chungulia.
Nimekuja kugundua story nyingi za Gudume ni chai aisee ile hotel hakuna...
American music icon Jason Joel Desrouleaux, also known professionally as Jason Derulo has been entrusted with the singing of the official anthem for the 2018 FIFA World Cup.
Derulo is a famous singer, songwriter and dancer who has sold over 30 million singles.
The development follows the...
Mkuu umendanganya, sio kweli kuwa ataenda kutumbuiza kwenye kombe hilo ila ni miongoni mwa wasanii kutoka Africa watakaoingiza sauti katika wimbo maalumu wa kombe la Dunia huko Urusu ambo alopewa shavu kuuimba ni Jason.
naona unahamu na basha mjinga wewe, mie huwa sifanyi watu kama nyie peleka shithole yako kwa wajinga wenzio, kwahyo wewe unaona hao walimu walitumia akili au nawewe ni mmoja wao.. Mie sikufundishwa na vilaza kama hao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.