Muda mwingine mtu kuwa katika maisha yako akawa ni mtu tofauti na ulivyotegemea usibadilike na kuwa mtu wa tabia zake. Jifunze kitu kutoka kwa mtu huyo in a positive way itakusaidia katika safari yako hujo mbele unakoelekea maana linalokutokea leo ni kwa ajili ya maandalizi ya kesho..
Pay...
Baki na imani ya kanisa katoriki ndugu achana na propaganda zao hao watu maana hata hao wanaodai wamelowea katika madhehebu mengine wametoka na chimbuko la kanisa mama kanisa katoriki.
Fanya hivi ipo namna unayoweza kufanya na kupata hizo skaramenti kama unania..
nenda ofisi ya paroko unaposali muelezee kuna namna anaweza kukusaidia kwa kukuunganisha na mafundisho ya wakate kumeni kama unawajua au maana yake ni mafundisho ya watu wazima wanaopokea wakati wa mkesha wa x-mass...
Wasalaam..
Mwanamke Akikujibu SMS yako Hivi Acha Haraka Sana Kuchat Nae
Ukiona umemtumia mpenzi wako/mchepuko wako/ au hata rafiki wa kike wakati mwingine SMS ya kawaida tu kwaajili ya kumsalimia lakini yeye akakujibu moja kati ya majibu yafuatayo, tafadhali sana usiendelee kuchat nae maana...
Mwanamke akifanya yote hayo unayohitaji kufua na mengineyo unamwambia atakae muoa atapata raha sana kwa maana ya kuwa wewe si muoaji..
na ndio maana madada wengi wamebadilika.
Usishangae kwanini amekuacha na kwenda ila jiulize ujasiri kaupata wapi?
Ukishalijua hilo jichunguze kuona ulikosea wapi ama yeye alikosea wapi na ukishaligundua hilo basi usisononeke bali jipongeze kwani huenda ungebaki nae ungeumia..
Kwani ni kheri aombae msamaha mara kwa mara kwa kosa jipya...
Kila mtu na jinsi na jinsi anavyopokea upendo katika moyo wake, na ndio maana kuna mtu akiachwa anajiua na kuna mwingine anacheka tu na maisha yanaendelea..
Namna unavyoweza kujisikia wewe kuhusu uwezo wako wa ku_hundle hisia zako kali za mapenzi ni tofauti sana na wengine.
Usi_judge watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.