Mji wa kahama ni mji wa kibiashara wenye muingiliano mkubwa wa watu wengi wafanyabiashara kutoka Mikoa ya Geita,Katavi,Tabora,Mwanza,na nchi jirani za Kongo,Rwanda,Burundi,na Uganda...hivyo kutokana na sababu hiyo na zingine kama kukua kwa kasi mji huo,mkuu wa mkoa leo hii ametamka katika...