Recent content by umusuntiwawe

  1. U

    GE2020 Dkt. Magufuli, Oktoba atavuna alichopanda

    nyomi gani ya kulazimishana kuitana rocal kwa wafanyakazi na wanafunzi kulazimishwa!
  2. U

    GE2020 Hivi mgombea wa CCM atafikisha hata 40% ya kura kweli?

    we jidanganye. Lisu anachukua nchi asubuhi!
  3. U

    Msaada kuapply nafasi za ualimu

    kwani bado kazi za ualimu zipo!
  4. U

    GE2020 Hivi mgombea wa CCM atafikisha hata 40% ya kura kweli?

    swala siyo kujaza. swala ni jpm hakubaliki kabisa. na tambua lowasa aliibiwa kura pia
  5. U

    Dkt. Magufuli tafadhali vumilia, mwaka huu ni zamu yako. Lowassa alivumilia ingawa aliumia

    Atajifunzia nje ya system? Maana Lissu atakuwa ndio Rais na atamfunga from day one
  6. U

    GE2020 Urais ni taasisi na cheo cha hadhi kubwa sana, hatuwezi kukigawa kwa huruma wala kwa muongo

    lisu kawashikisha ukuta ***** mtanena kwa lugha uchaguzi huu
  7. U

    GE2020 Mjadala mkubwa juu ya kuenguliwa kwa wagombea wa vyama mbalimbali

    Umesema lengo lao siyo kushinda ubunge, udiwani wala urais bali kupata ruzuku. Sasa watapataje ruzuku bila kushinda?
  8. U

    Hizi ajira za pale DUCE mwenye degree haruhusiwi?

    Wakuu kuna ajira part time zimetangazwa pale Duce lakini mwisho form six.
  9. U

    Lissu umeshindwa kupindua meza?

    kafanya nini huyu pimbi wako magufuli!
  10. U

    GE2020 Mfa maji haachi kutapatapa! CHADEMA maji shingoni

    mbona unajichanganya sana ndugu. Mara o asituchangishe pesa kwani tuko hoi. Unajiaibisha kuwa ccm haipaswi kuchaguliwa tena mana imewafanya wawe hoi kifecha. Pili unasema USAID siyo pesa ya mabeberu hivi we una akili kweli! Unajua malengo yake au wanatoa tu kwa sbb wanakupenda. Kama hii ndo...
  11. U

    CCM itaondolewa madarakani na vijana

    kwa kitu gani ambacho kawafanyia! Ajira kawanzyima halafu wamkubali? You cant be sereous!
  12. U

    GE2020 Kama Vyombo vya Habari vitaendelea kufanya hivi, CHADEMA Ikulu itakuwa ni ndoto

    92 watu hawachagui sera ila ccm imechokwa hauhitaji sera wala nini!
  13. U

    Lissu haelewi maana ya ‘Jeshi la Akiba’?

    kwa mujibu wa sheria halipo na hakuna kitu kama hicho unless kama mmlianzisha kama intarahamwe tu
Back
Top Bottom