Recent content by Umunyamategeko_tz

  1. Umunyamategeko_tz

    Gwajima ni mjumbe asiye sahihi mwenye ujumbe sahihi

    Ni mjumbe mzuri na tunu ya chama kama watamuelewa mapema na kusikiliza kile anachokisema. CCM ni chama kilicho jaa mafisadi,wabinafsi,wenye fitina kwa hali kama hii ni ngumu kupata mtu atakae mkemea mwingine bila woga na kulinda msimamo wake kwa masirahi mapana ya taifa Na hili ndio...
  2. Umunyamategeko_tz

    PreGE2025 Kwa Kauli hii ya Rais "Magwajima Tuyaache", ni dhaihiri kwamba Gwajima lazima apigwe Panga na Wajumbe, Wameshindwa Kujibu Hoja zake wanataka kumtoa

    Huo ni woga wa kujibu kwa hoja badala amjibu ananza kubwabwaja tu et gwajiamanazition kwa kauli hiyo inatolewa na mkuu wa nchi si woga kabisa huo
  3. Umunyamategeko_tz

    Mazaa hawezi kusimama mbele ya Gwajima na akashinda . Never, niko pale mniite Zuchu akishinda

    Hapa Mtekaji hawezi kutoboa moto wa Askofu Gwajima ni level nyingine kabisa hapa lazima Mtekaji aombee vinginevyo atalala chali
  4. Umunyamategeko_tz

    Askofu Gwajima akabidhi ambulance mpya Kawe

    Jambo alilolifanya MH Josephat Gwajima ndio linatufanya sisi Wana kawe tuendee kumpenda na kumpa kura zetu za ndio 2025 arudi tena bungeni Kwa kishindo kikubwa
  5. Umunyamategeko_tz

    Askofu Gwajima amuomba RC Chalamila Serikali ijenge Mifereji ya Maji Boko Basihaya na Tegeta Yote kuelekea Baharini!

    Kwahiyo unataka kwenda Marekani kwa tiket ya mbunge tafuta hela acha maneno
  6. Umunyamategeko_tz

    Mbunge kuleta maendeleo katika jimbo lake haiwezekani

    Nakuunga mkono kwa hoja yako nzuri ikumbukwe nje ya luwa na mbunge haitoshi kufanya maendeleo yaje jimboni , pamoja na kelele zote bungeni haitoshi kufanya jimbo kuendelea kama tu serikali haitamuunga mkono mbunge asilimia 80% ya maendeleo ya yanategemea sana serikali iunge mkono hoja ya mbunge...
  7. Umunyamategeko_tz

    Askofu Gwajima alidhani ubunge wa Kawe ni Asset kumbe ni liability kwake! Aishia kwenye rede na jogging. Hana mikakati ya maendeleo

    Kila jambo lina wakati wake Mungu huwainua watu kufanya mambo kulingana na wakati unahitaji watu wa aina gani Mh Gwajima amekuwa mbunge hii haimuondoi kuwa Askofu kazi ya Mungu anafanya na kazi ya kijamii pia anafanya nikupe mfano wa kiroho "Daniel 5 :29 Daniel alikuwa mtu wa tatu katika ufalme...
  8. Umunyamategeko_tz

    Tujadili Wabunge wanaoshindwa kutimiza ahadi zao majimboni

    Inamaana hauelewi hata unacho zungumza hayo yote unayoyazungumza yamefanyika au la! hawakilishi wananchi kawe bungeni ??? Miundo mbinu ipi unaisemea ww zaidi ya barabara zilizo jengwa bunju, mabwe pande , kawe na mitalo iliyojengwa msasani unapotoa hoja uwe na evidence za kutosha umesahau...
  9. Umunyamategeko_tz

    Tujadili Wabunge wanaoshindwa kutimiza ahadi zao majimboni

    Ukisema sema hivyo uwe na hoja ya msingi moja kati ya majimbo yalifanya vizuri Kwa mda mfupi ni kawe Gwajima amefanya mengi ikiwa na kujenga vituo vya afya, barabaran, vivuko vya waenda Kwa miguu ikiwemo baadhi ya maeneo yaliyoshindikana na yaliyokuwa na kero za mda mrefu Kwa wakazi wa maeneo...
Back
Top Bottom