Tuko pamoja mkuu. Nadhani watu wa Dom tunapaswa kuanza organisation mapema ili tujue how an' where to meet even the number of willing participants. Nashauri tukutane pm tuyajenge vzr. Ubarikiwe sn Ontario an your team.
I salute u Mr Jeff 4 your admirable efforts, tangu day 1 nilipoona uzi wako niligundua kitu cha tofauti kwako kwamba u are unique in terms the way u ague an how energetic u are. Nilisema Mungu amekuinua ili uwainue wajoli wake hasa ambao tumekuwa oppressed from economic opportunities, nilisema...
Mkuu Ontario don't west your valuable time to answer such person like Mberoya. Let's keep fighting to atain our goals, nia yao ni kututoa kwenye lengo ili tupoteze focus. Forward ever backward never.
Nakuombea na kukutakia mafanikio ili ndoto hii njema itimie. Binafsi nakuhakikishia ushirikiano ukianza kuja mikoani. Wewe ni hazina ya taifa na nyota ya matumaini. Stay blessed.
Kazi ya ujenzi wa taifa inapaswa kushirikisha watu wote bila kubagua au kukejeli wale wenye misimamo na mitazamo tofauti maana hata kwa hao wanaoonekana wapinzani yapo ya manufaa yanayoweza kusaidia ktk ujenzi wa taifa. TE="BOB LUSE, post: 21606201, member: 203401"]Nyani siku hizi umeshuka...
Mkuu Ontario hiki unachokifanya ndicho Mungu anachopenda watu wake tufanyiane. Nakuhakikishia kama mtumishi wa Mungu kuwa hakika tutafanikiwa. Mathew 5:1-5
Mkuu Ontario pole na majukumu, najua unastrugle kuestablish office lkn vijana wenzako tuko eagerly kupata update japo kujua ulipofikia ili tuanze training then kazi kwenda mbele. Tunakuombea sn ufanikiwe nasi tijikwamue. May the God Almighty protect and succeed all ur plan.
God bless you Ontario. Umesababisha nianze kufuatilia kwa makini uzi wako maana not far away I can see financial breakthrough. Tuko pa1 Mungu akutetee ili nasi tukombolewe kupitia kwako.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.