Recent content by Ulweso

  1. Ulweso

    JamiiForums Tanzania Jina la Israel na maana yake

  2. Ulweso

    JamiiForums Tanzania Jina la Israel na maana yake

    Ulivyo andika sasa eti wakristo na ujinga, wewe ulivyoandoka hivi, huyo mjinga anafannaje tuanze nawewe
  3. Ulweso

    JamiiForums Tanzania Jina la Israel na maana yake

    Eti baada ya kumtia mangwala Mungu daa halafu wewe Mwanzo 32,:24-30
  4. Ulweso

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu karudi kwenye dini yake

    Unaweza kumbadilisha mtu dini halafu usimfundishe au kuwa kielelezo kwake, kwahiyo mtu anaona bora aendelee kupiga [emoji91][emoji91], mfano unambadilisha halafu wewe mwenyewe hata kwenye nyumba ya ibada hauendi unategemea nini hapo, miaka 18, mingi sana kaeni chini myamalize, mambo yakuachana...
  5. Ulweso

    JamiiForums Tanzania Shehe: Profesa Janabi anataka kutuua, atatuvunjia ndoa

    Ha ha ha yeye anasema wake wanne (4) wakati wengine mke mmoja mtihani unakuta anamkimbia mkewe kumbe anakimbia shughui ha ha ha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sheih anasema 4 mbavu zangu
  6. Ulweso

    JamiiForums Tanzania Magaidi walioshambulia Urusi tayari washakamtwa

    Acha wafundishwe huko
  7. Ulweso

    JamiiForums Tanzania Vatican ni nchi moja ya kipekee sana ulimwenguni

    Papa au Vatican inasikizwa sana na ndivyo ilivyo na sio sehemu za wakristo huko Kwa Waislam Papa akienda wanamsikiliza Kwa makini[emoji6]
  8. Ulweso

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke wangu anapenda mapenzi kila dakika na ni mke tutatoboa kweli?

    Ukipata asiyependa unaanza kulalama humu, dunia haiko sawa kabisa.
  9. Ulweso

    JamiiForums Tanzania Wakamatwa Zanzibar wakipika chakula kwa ajili ya kuliwa mchana

    Kwahiyo huko dhambi zinafanana ndiyo maana wanataka kutubu kwa pamoja kama watu wa Ninawi na wanaogopa kuangamizwa kama Sodoma na Gomora walivyochomwa moto.🥲🥲🥲
  10. Ulweso

    JamiiForums Tanzania Wakamatwa Zanzibar wakipika chakula kwa ajili ya kuliwa mchana

    Sasa kama mtu kajifungua ndani shida nini? Kwahiyo hata wasio funga au wakristo na wao wanafunga Kwa lazima? Hiyo dini utumwa, mnaheshimu mwezi badala ya Mungu, ujue Mungu mwenyewe si mkatili kiasi hicho! Watu mnapekenyua mpaka vya ndani duu[emoji15][emoji15][emoji15] poleni mlioko huko.
  11. Ulweso

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya kufukuzwa kazi kaka yagu alitembea na mke wangu mpaka kumzalisha

    Kama ni kweli basi hao wamepitiliza na uzinzi unawashangaa
  12. Ulweso

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya kufukuzwa kazi kaka yagu alitembea na mke wangu mpaka kumzalisha

    Duu hii PANA kumeza[emoji15][emoji15][emoji15]
  13. Ulweso

    JamiiForums Tanzania Magaidi wa dola la Kiislamu (Islamic State) wakiri kuhusika kwenye shambulizi la kigaidi Urusi ambalo limeua Warusi 62

    Kwani hao si ni rafiki zake imekuwaje hapo!
  14. Ulweso

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu kaniambia wana ndoa sio lazima waishi pamoja, kahamia Dar lakini sijui anaishi wapi!

    Wanaume wa hivi wapo wapi jamani?[emoji1][emoji1][emoji1] Mbona huku hatuwaoni?
  15. Ulweso

    JamiiForums Tanzania Miaka 3 ya kifo cha Magufuli: Haya ndiyo mabaya yake katika utawala wake

    Tuletee na mazuri yake. Kisha na yakwako mabaya tuwekee hapo ili hata ukiondoka tusipate shida kuyatafuta
Back
Top Bottom