Recent content by Ultimate

  1. Ultimate

    JamiiForums Tanzania Inasemekana Jeff Bezos kufanya harusi ya zaidi ya Trilioni 1.

    Kipindi ataneteseka na amazon yake mlikua wapi? Saivi anatumie fedha zake mnataka mpagie ajeti
  2. Ultimate

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa tiGO wabadili jina, sasa kuitwa YAS

    Tena, Ni mwendo wa ku kwepa kodi
  3. Ultimate

    JamiiForums Tanzania jF members wa 2090's, pls know that I also existed

    Bookings Mapema
  4. Ultimate

    JamiiForums Tanzania Web Development na Application Development kwa Bei Nafuu

    "uzoefu na uwezo mkubwa" Zipo wapi kazi ulizofanya?
  5. Ultimate

    JamiiForums Tanzania Hizi ni dalili 7 kuwa una Uraibu (Addiction) ya matumizi ya Simu

    Digital wellbeing inakuja by default kwenye simu za samsung
  6. Ultimate

    JamiiForums Tanzania Kununua vocha kimakosa

    Tunasubiri
  7. Ultimate

    JamiiForums Tanzania Kununua vocha kimakosa

    Labda unachangamsha genge. Limit ya vocha mitandao yote ni elf 50 wewe laki 3 umewekaje?
  8. Ultimate

    JamiiForums Tanzania Je,Wanyama huhisi Kama kuna kufa?

    Hapana, niliona story reddit. Mungu, Binadamu na malaika ndio wenye roho pekee
  9. Ultimate

    JamiiForums Tanzania Nilijifundisha programming kwa namna hii

    Mbona kama ume-panic
  10. Ultimate

    JamiiForums Tanzania Nilijifundisha programming kwa namna hii

    Safi sana. App an web ulizotengeneza mboja hujatuwekea link?
  11. Ultimate

    JamiiForums Tanzania Python for Data Analysis

    Mkuu ongeza nyama kidogo. Unafundisha python library or data analysis?? Mfano: pandas - tutatumia kufanya kitu gani, numpy tutatumia kufanya nini pamoja na mifano
  12. Ultimate

    JamiiForums Tanzania Umeme wa hovyo (Junk Electricity), unavyosababisha maafa na hasara

    Taariya ya vifo kutoka police
  13. Ultimate

    JamiiForums Tanzania Umeme wa hovyo (Junk Electricity), unavyosababisha maafa na hasara

    Ili taifa lina watu wajinga sana. Mtibwa, Kagera na TPC huwa vinazalisha umeme wa mvuke wenyewe kutoka kwenye mabaki ya miwa. Kilichotokea kuko mtibwa ni mitambo yao (bomba) wa kisafirisha mvuke lilipata italafu. TANESCO haihusiki na jambo hilo. Kijana jifunze kufatilia mambo acha kukurupuka
Back
Top Bottom