Ndoa ni mchakato mreeeeefu sana. Huanza kusalimiana
Kupewa Offer na kukaribishwa Juice
Na hatimaye kutamka hivi... ''MBOWE amesema kwamba wanakubali ili yaishe kwa lengo la kutengeneza katiba mpya
kwa manufaa ya wananchi''
Hawa ndio wana Si- Hasa wetu bwana....
Uli.
Hapana sie ES..... huyu ni yule kinyonga anayejibadilisha majina tu...utamjua kwa lugha zake na tamathali zake za semi..mindhali...not only..of all people...huyu jamaa kiboko.
Hivi wewe ndugu huna kazi kweliii....kazi kushinda mtandaoni nakuandika majungu,umbea na uzandiki huku ukibadili majina (IDs)....
Ume google na kupata barua aiyoandika Secretary of Defence wa Uingereza na ukaandika kingereza cha kwenu ukasingizia ni barua ya Blandina.
Sote tunakubaliana kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.