OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,095
- 103,345
ok, ni sawa much respect DR.MBOWE, ila mi maoni yangu nitayapeleka kwa DED, af labda ye ndo ayapeleke kwa huyo Fatma Kimario
huyu ni nani tena ??
angefanyaje sasa mana mwisho wa siku wangeambia wanaokubali maDC waingizwe waseme ndiyooooo (ccm) wasiokubali waseme siooooo (chadema) lazma watakaosemda ndiooo watashinda kwa wingi wao
MBOWE amesema kwamba wanakubali ili yaishe kwa lengo la kutengeneza katiba mpya
kwa manufaa ya wananchi. Hata hivyo anasema wabunge wa CCM waache utaratibu wa kufunika
kombe ili mwanaharamu apite.
Hii ina maana kwamba ma DC na ma DED watahusika wote kwa pamoja katika mchakato
wa kukusanya maoni ya katiba mpya.
kama jambo hulijui kwanini uanike upumbavu wako hapa? Nani kakwambia DC au DED watakusanya maoni?imekwisha kabisa wewe jipange tu kupeleka maoni yako kwa DC au DED
Kikubwa hapa ni kuwaomba ma DC na Wakurugenzi kuacha ushabiki wa kisiana kama upo linapokuja swala la Katiba, wawe fare kwenye huu mchakato na ndio maana hata Serikali ilipoleta huo mswada Bungeni uliwatoa ma DC