Recent content by Ulika

  1. Ulika

    NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    kiongozi mi bado nauliza hili swala la mikopo kwa sie ambao hatujawahi kukopo ndio hamtutaki tena
  2. Ulika

    Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    Ndugu wana JF habari za majukumu ya kulijenga Taifa letu , mi ni mmoja wa wadau amabaye nilijikita sana kwenye kilimo cha umwagiliaji mpunga pale Dakawa kwa sasa nataka kupunzika na kuku wa kienyeji na Kisasa ... ishu ipo kwenye kudizaini Banda lao .. 1. Naomba kuuliza Je naweza niakawachanganya...
  3. Ulika

    NMB kunani, nimeambiwa mikopo imesitishwa?

    Najiuliza sana ila sipati jibu la hii serikali ina mpango gani na raia. Leo imekataza semina, kushusha madaraja na kustopisha mpaka ukaguzi hewa kwa wafanyakazi hewa upite hususani kwa waalimu na wafanyakazi wa serikali. Nimekaa nikawaza nikaona sio kesi ngoja nifanye biashara nijiongezee...
  4. Ulika

    NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    NMb sijawaelewa kabisa nilienda mwezi wa sita kukooa nikawaonyesha salary slip inamakato wakakataa kunikopesha mpaka nimalize deni nikajitahidi nimalize deni nichukue mkopo niende, shamba ile nafika tu wanadai eti hatukopeshi tumepewa barua na serikali mpaka hapo baadae
  5. Ulika

    Tanroads Mtwara usaili lini?

    Ha ha ha
  6. Ulika

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Kwa walimu wa sekondary Njoo moshi wilaya ya hai nije Marogoro wilaya yoyote contact; 0786597696.
  7. Ulika

    Nafazi za kazi NAO kupitia Sekretarieti ya Utumishi wa Umma

    Hawa jamaa wa utumishi sometimes huwa nawashangaa sana inamaana kwenye wale watu elfu 3300 wa NAO mwaka jana ambao walichujwa na kubakia 330 wakaenda computer practicle 270 na wote wakaenda oral ambapo matokeo yake walichukua watu 100 then wkachukua 67 inamaana kwenye server yao hakuna...
  8. Ulika

    Mtaalam wa saikolojia kwa wana michezo

    nimekusoma mkuu tutawasiliana
  9. Ulika

    Mtaalam wa saikolojia kwa wana michezo

    Hebu kuweni serious watu tupo na utaalam zetu huyo mtu anahitajika wapi na mkoa upi kwa muda gani na malipo yanakuaje please clarify
Back
Top Bottom