Recent content by Ulewe

  1. U

    Mwalimu aliyewahi kunyanyaswa na Mkurugenzi wa Tanga Jiji amefariki dunia

    Hawa wakuu huwa wanaangalia sura ..na msimamo wa mtu.. umekaaje Kama wakikuona unamisimamo lazma wakuite na kukusogeza vizr..ukikaa kinyonge kazini lazma unyanyasike tu.
  2. U

    Ajira mpya zimepunguza tatizo la Uhaba wa walimu wa Fizikia na Hesabu

    Bado kazi ipo huku msingi walimu wanavipindi 200 kwa wiki..unasema walimu wametoshaa Ummy acha biashara..hizoo..ajirini watu shauri yenu 2025 mtakiona.
  3. U

    Hivi kwanini walimu hawapati teuzi?

    Shida kubwa ya wateuzi wetu wanaangalia kupitia TV, kwahiyo mwalimu ni ngumu kumuona had wafanye savey mashuleni kila Mara..mbali na hapo haitatokea mwal kupewa teuzi yoyote ya juu.
  4. U

    Serikali iwaangalie walimu wa masomo ya Sanaa (Arts)

    Ualimu ndo lilikuwa suluhisho la vijana wengi hasa waliotoka katka familia zenye kipato Cha chini..
  5. U

    Serikali iwaangalie walimu wa masomo ya Sanaa (Arts)

    Wengi Sana kuanzia 2015-leo
  6. U

    Natafuta ajira ya ualimu wa sekondari shule ya private au kituo chochote cha elimu

    Dah..jamani watoto wa maskini ndo tunaoumia Sana na hili swala la ajira mtu alisoma ualim akiamn mapema Sana atapata ajira lakin dah..Basi kaziiendelee hakuna namna.komaa utapata tu kijana .
  7. U

    Serikali iwaangalie walimu wa masomo ya Sanaa (Arts)

    Ushauri tu kwa serikali yangu ya CCM,wahitu wote wa shahada na stashahada ya ualimu wa masomo ya arts. Serikali ione aibu Hawa watu imewatenga sana, na hili ni bomu ambalo siku limelipuka CCM hamtaamni. Kama hakuna umhimu wa masomo hayo Basi ni Bora kozi hizo zifutwe vyuoni kuliko...
  8. U

    Serikali ianzishe mfumo wa "internship" kwa Walimu wahitimu kuliko kujitolea

    Hoja yako ni ya msingi Sana mkuu,ajira zinatangazwa na kigezo kikubwa Cha kupata uwe unajitolea kiukweli hapo wanaumiza Sana unajitoleaje bure ,mda huo unakula kwa Nan,familia yako inaishije,kiukweli hapo serikal bado inahji kubadili mfumo huo..
Back
Top Bottom