Recent content by ulaya12

  1. ulaya12

    Membe waonee huruma Hawa wake wawili wa Musiba kama umewakatalia viongozi wa dini

    Membe alimpa nafasi kwamba aende kwenye magazeti yake akamsafishe lakini Musiba alikataa,na kusema siwezi kumuomba msamaha mtu yeyote.Sasa unafikiri Membe atafanyaje hapo?.
  2. ulaya12

    Huu upumbavu upo Afrika tu, unaambiwa na Mchungaji ufunge hadi ufe na wewe unakubali

    Unaambiwa kuna kutoa sadaka inaitwa ya "kujimaliza" hiyo unatakiwa utoe hela yote uliyokuwa nayo mfukoni hadi nauli na watu wanatoa.Hawa watu sijui wana dawa?.
  3. ulaya12

    Haya ndo magereza hatari zaidi Tanzania

    Kuna gereza linaitwa Namteketa lipo Sumbawanga, hatari kabisa wanalima muda wote hata kiangazi kama hiki wanalima.
  4. ulaya12

    Kitengo cha Vetting kimmulike mwana JF huyu

    Huyu hafai kuwa kiongozi ana vinasaba vya kujipendekeza sana ni jamii ya wale viongozi vijana wa kipindi cha Mwendazake.Kwa taarifa yako huyu alikataliwa na Wajumbe alipata kura moja hafai huyu.
  5. ulaya12

    Vitu gani husababisha Wanawake wanune?

    Huyo atakuwa kauza mechi nje sasa anahofia kuwa umepata habari ndiyo maana anakununia ili usilianzishe.
  6. ulaya12

    Usimuonee huruma Mwanamke

    Pia usiwekeze sana kwa mwanamke
  7. ulaya12

    Kimeumana, Benki ya Dunia yaiweka Tanzania kwenye nchi zenye mzigo mkubwa wa madeni

    Hapa MATAGA watasema mbona siyo pekee yetu wenye madeni makubwa.
  8. ulaya12

    Mkeka wa Ndugai Unazidi Kutiki

    Mbona uhoji ile 1.5 tn imekwenda wapi Na kwanini huyo huyo Job unayemtaja kuwa ni msrma ukweli alikataza huo mjadala wa hiyo hela usijadiliwe bungeni?.
  9. ulaya12

    Mbunge: Wanawake acheni kutoa huduma kwa wanaume wasiotahiriwa

    Mh. Mimi sina GOVINDA je unaweza ukanibariki maana umetoa tahadhari kwa Wanawake na wewe kama kiongozi wa kitaifa inamaanisha ni wanawake wa nchi nzima ukiwepo na wewe, sasa ili usionekane kama umebagua kikundi fulani ndiyo maana nimelileta ombi langu kwako naomba ulibariki.
  10. ulaya12

    Tujukumbushe mambo yaliyopigwa marufuku utawala wa awamu ya 5

    Nisimsikie mtu anasema "vyuma vimekaza" Ila kwa kweli tulikuwa kwenye ukoloni japo tunayo bendera.
  11. ulaya12

    Wananchi wakataa kunyoosha mikono kwenye mkutano wa Nape kupinga kauli za kichonganishi za Nape dhidi ya Magufuli, watu wamemchoka ajitafakari

    Hili la kuwasema.viongozi wastaafu ndiyo leo limekuuma siyo, mbona hukuwahi kukemea kipindi kile wakati Ally Happy anawatukana wastaafu,S.Musiba wakati anawatukana wastaafu ulikemea?.Kwahiyo unataka kusema bahari haijatulia kwa maana na vitisho, kutukana watu kwenye majukwaa na lugha chafu kama...
  12. ulaya12

    Profesa Assad: Katiba Mpya sawa ila isitupe mtu ambaye hawezi kumsikiliza mtu yeyote kama ilivyokuwa

    Bila Mungu kuingilia kati hii nchi ingeharibika sana,....in H.Rungwe's voice.
  13. ulaya12

    Kama Waingereza na Wajerumani walitutawala inakuwaje hatuna mchanganyiko wa rangi na hao wazungu kama Wazanzibar

    Wajerumani waliozaa na ngozi nyeusi wapo japo siyo wengi, mfano ni Zakaria Hans Pop (RIP) baba yake alikuwa ni Mjerumani.
  14. ulaya12

    Mume amfikisha mahakamani mkewe kwa kupeleka mshahara wake kanisani

    Huyu mwanamke ameshapata bwana tena ni huyo mchungaji wake wa kilokole,haiwezekani pesa zote apeleke kwa mchungaji halafu ukiulizwa unasema bora tuachane.
  15. ulaya12

    Mwanaume mwenye uume mrefu duniani

    Huo mzigo ukidinda unafika kwenye viatu alivyo vaa.
Back
Top Bottom