Hojatete acha hizo. Kumbuka Hayati Regia alikuwa mbunge kupitia tiketi ya chadema hivyo nafikiri ni sahihi tu kuonekana kwa bendera ya chama. Sioni kama kuna tatizo sana hapo. Pia nashukuru sana kwa mdau aliyetuwekea picha tukaona kilichokuwa kinaendelea.
Mwanjelwa una uhakika? Kwa jinsi maji yalivyokuwa yanapita salender bridge daraja lenyewe halikuwa limefunikwa isipokuwa ni hofu ya kukatika sasa itakuwaje maji yafike magogoni. Nafikiri sio rahisi hivyo. Kama unasema hivyo basi nategemea kituo cha polisi salender kiwe hakifanyi kazi. Toeni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.