Man,
A leader is a product of a society he comes from!
A society that embraces corrupt actions will hardly produce non-corrupt leaders, and so for all other behaviors that defines Africans, at large!
I clearly mentioned, one of our internal problems being having a culture of Unresponsible and Unaccountable.
Just so you know, Imperialism operates today, contrary to colonialism that operated 59 years ago (It is not the same thing). One should not be comfortable with it, but only and only if...
Hello,
That is quite a broad topic, and it puts the entire African continent into one basket.
Speaking of our problems in Tanzania and Africa in general, there are so many contributing factors, Imperialism (Ubeberu) being one of them, but not the only problem (Imperialism problem is when you...
Imperialism is a policy (way of governing) in which large or powerful countries seek to extend their authority beyond their own borders. The policy of imperialism aims at the creation of an empire. ... They may simply establish economic and/or political control over the other country.
Ninyi watu mnajua kuwa tafsiri ya Ubeberu ni Imperialism?
Na Beberu ni Imperialist?
Na tafsiri ya Imperialism ni hali ya nchi moja kuitawala au kui-control nchi nyingine kiuchumi ?
Imperialism is "a policy of extending a country's power and influence through colonization, use of military...
Safi mkuu,
Inahitaji uelewa fulani wa kibiashara kuona juhudi chanya za ATCL na kwa hili wanahitaji pongezi.
Bila shaka kidogo mkuu umesahau namna nyingine ya kukokotoa faida kwa kujumuisha Carry Over Losses, ambayo kimsingi ndio hii inayoonekana kupunguza hasara mwaka hadi mwaka.
Asante sana...
Sauti kubwa ikasikika kutoka kundi la watu waliosimama kustaajabu juu ya unabii ule, ikasema, "Na utuambie tena basi, huyu mtabiriwa atakaa nasi hata lini? Na ajaye baada yake ni nani?"
Ukimya ukatanda na kutawala, kisha akasema, atazamaye na aone!
Mkuu wewe sio nobody .... sauti yako inasikika hadi kuzimu kwa Malcom X na Patrice Lumumba (Hawa wote walikuwa wanaharakati maarufu waropokaji bila kujali wanamropokea nani lakini walikosa busara na akili, yaani unwise and stupid na kwa sababu hiyo hawakufanikisha cha maana), na duniani huku...
Kuna tatizo lingine la msingi ambalo wanachama, wapenzi na wafuasi wa CHADEMA wanaona aibu kulisema hadharani, ni ATTITUDE mbovu ya viongozi na wabunge wengi wa chama hicho. Chukulia mfano wa mbunge Joseph Haule a.k.a profesa Jay, unadhani mtu kama yule ni lini atazongwa zongwa na makesi kama ya...
Mna uelewa mdogo sana juu ya corporate affairs. Kampuni inapokuwa ni public listed ni lazima itoe taarifa kwa stakeholders wake wote linapotokea jambo lolote lenye kuleta sintofahamu, kwa uharaka na kwa usahihi!
Hizo ndio picha za design kabla ujenzi kuanza, tuambie tofauti unayoiona kati ya hizo picha na kitu halisi kilichojengwa. Kuhusu kwenda pale physically kuangalia naomba nikutaarifu kuwa mimi ni mtumiaji wa barabara ya Nyerere kila siku napoenda kazini na kurudi nyumbani, ni mtumiaji wa kila siku...
Napata wakati mgumu kukuelewesha mtu wa namna hii, nimekuwekea picha za mchoro wa design ilivyokuwa kabla ya ujenzi kuanza na na kwa sasa unaweza kwenda mwenyewe ukatazama kwa macho yako then ukalinganisha mchoro/picha ya design kabla ya ujenzi na utakachokiona, je ni tofauti zipi unazoziona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.