Kisa cha Gambia kinanikumbusha kupotea kwa Ben Saanane na kina Azory Gwanda. Baadhi ya Tawala za Afrika ni ngumu sana kusurvive kwa wanaharakati wapingao serikali au wapingao viongozi walioko madarakani. Ni suala la muda haki itapatikana tu, iwe hapa duniani au ahera
Ni kizazi cha Facebook na insta kilichohamia huku. Wapuuzi kwelikweli. Zamani hii page ilikuwa serious kwelikweli na wengi walipata wenza hapa siyo siku hizi full kukatishana tamaa
Habari zenu waungwana.
Mimi ni mume mwenye watoto kadhaa. Nahitaji mwanamke aliye tayari kuwa mke wa pili.
Awe na umri kuanzia miaka 30 hadi 40.
Naamini humu wapo wanawake wanaohitaji stara.
Karibuni PM
Naamini mke au mume anapatikana popote,kumbuka watu wamekutana vyuoni,mahospitalini au kaunta za bar miezi kadhaa mbele wakaoana.Hili ni jukwaa maalum kwa ajili yetu.Wenye nia nawakaribisha pm naamini huko tutafahamiana vema
Mimi ni mtumishi serikalini.Natafuta mke umri wake usizidi miaka 33.Awe dini yeyote.Angalau awe na elimu ya certificate yoyote ile.Nina elimu ya shahada moja.Sichagui kabila.
Aliye serious anipm tutawasiliana zaidi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.