Recent content by Ukwaju

  1. Ukwaju

    Dark days 17/03/20

    https://youtu.be/7r4IAEf_zFE?si=THdsNkcacQtOlw0s
  2. Ukwaju

    Dark days 17/03/20

    na mm mnishtue Disemba 2025 huenda haijafika
  3. Ukwaju

    Kitoto cha 2006 kimegonga mwamba kwa Likud

    hivi vitoto vya 2000-2006 havina maneno, wivu wala hiyana, km una mke kwao poa twende pamoja moaka siku kakiosta mwenza unakaa pembeni
  4. Ukwaju

    Kitoto cha 2006 kimegonga mwamba kwa Likud

    tatizo liko wapi? leo JF imeingiliwa, kuna Mada ya Aggrey shoga inachangamkiwa kule watu mnatukataza tusisafishe nyota mnataka tufuate mashoga? au wazee mipaja haina mvuto?
  5. Ukwaju

    Kitoto cha 2006 kimegonga mwamba kwa Likud

    ee bwana wee mbona hii mada ya LIKUD imekuuma sana, mm nina zaidi ya 50s na hivi vitoto ndio navitaka na navitumia, wale wa .com hadi 1999, siwataki sio visumbufu na mtaji unampa kabisa, Mama yake unamjazia kibanda, km umeme hawana unawavutia, baadae unasepa zako km ni wife unajirudisha...
  6. Ukwaju

    Wakuu naombeni mnipe muongozo jinsi ya kuingia Zanzibar, Nahitajika kuwa na vitambulisho gani?. Naenda kutafuta kazi.

    bora tu Muungano uvunjike, maana Wazanzibar ni wabaguzi sana toka dahari, wanatafuta vibarua toka Tanganyika lkn hawataki wahodhi ardhi. hiku bara wanajenga majumba mahoteli na kununua ardhi ila huko kwao hawatoi ardhi. ipo siku watoto wetu watavunja Muungano na kuwatafuta popote walipo hawa...
  7. Ukwaju

    Kitoto cha 2006 kimegonga mwamba kwa Likud

    safi sana umeka control siku umitaka tena penyeza rupia kula mzigo, mwendo ndio huo huo vitoto vya 2000. haya mashangazi mengi yanakwenda na vidonge vya kufubaza ukimwi, unajikuta unajuta hata kupoteza muda kuyafuata
  8. Ukwaju

    Haya ni makampuni makubwa miongoni mwa 400 yanayowekeza mabilioni ya dola nchini Israel kwajili ya Utafiti na Ubunifu (Research and Design)

    UONGO HUO KABISA, Makampuni 400 yapo kijiji gani, Israel ni u aguzi mtupu ndio alete mkorea mjapani, nina jamaa yangu yupo Chimendeli Dodoma ananiambia hao watu ni kilimo cha umwagiliaji, na madawa tu ubunifu ni Misri na Iran wanacheza na nyuclia atom nk
  9. Ukwaju

    Mambo makubwa aliyoyafanya Rais Samia tangu aingie madarakani

    tusimzungumzie marehemu post inasema Mama kaioaisha, je ajira zipo? utekaji.jaukomi, Tarimo katejea hotelink kazi ni ukabila na kujuana bora wakati wa Shetani Nchi ilikuwa na nidhamu na woha
  10. Ukwaju

    Nahisi maumivu baada ya kugundua viashiria vya Usaliti

    bora umegundua huko tunapiguwa sana km huwezi vumilia na ww tafuta wako jipigue tu
  11. Ukwaju

    Mambo makubwa aliyoyafanya Rais Samia tangu aingie madarakani

    Magufuli ingawa hatukumoenda lkn alitumwa km masihi kuja kusafisha Nchi,Mama asingeweza kudai vyeti vya form 4, ni Magufuli tu alileta nidhamu moaka maofisini, Mawaziri wangapi hawana vyeti vya f4?
  12. Ukwaju

    Mrejesho: Asante JF! TRC wawasha viyoyozi SGR Magufuli (Dar) na kwenye train leo njia nzima

    kweli kabisa akapande mchongoko mbona nauli poa tu 120,000/ Dar Dodoma na daraja letu ordinary 31,000/ Dar Dom sisi wengine viyoyozi vinatuumiza, km usiku kuanzua Moro Killsa milima ya Gulwe wangejizimia tu maana pumu haitaki mabaridi hayo. huu mtindo wa kuturudisha kwenye mabasi waache kabisa
  13. Ukwaju

    Je, huyu ndiye IGP ajaye? Mfahamu Kamishna Awadhi Juma Haji, anayesimamia Operesheni za Polisi

    Mkuu wakati wa kumtafuta huyu IGP ndipo Awadh alipopandishwa cheo na kuwa Kamishna, akumbuka akiwa Ilala tukajua ndio maandalizi ya u IGP, mkuu akashtuka hivyo yupo pending tusubirie Uchaguzi, mkumbuke yule IGP o aliyepita hakukaa muda wambeya wakamchoma
Back
Top Bottom