Recent content by uku

  1. U

    Safari ya Mafia: Njia gani nzuri ya kunifikisha?

    vyumba bei ya juu kiasi gani na ya chini kiasi gani?ninaham niende na family kama wiki hivi.
  2. U

    Aliye bikiri ndie alipe zaidi

    Alipwe mahari lkn isiwe kubwa ya kumkomoa aliyestiri
  3. U

    Aliye bikiri ndie alipe zaidi

    Nakubaliana na ww mkuu,tena kama huku kwetu utaambiwa utoe kitanda,kabati,dresing table,na godoro na kama havijatimia mwanamke atakununia,lkn aliyembikiri pengine kampa chips kuku tu.
  4. U

    Aliye bikiri ndie alipe zaidi

    Umegharamika kiasi gani?
  5. U

    Aliye bikiri ndie alipe zaidi

    Hiyo safi sana
  6. U

    Aliye bikiri ndie alipe zaidi

    Si ndo hapo sasa inauma sana
  7. U

    Aliye bikiri ndie alipe zaidi

    ndio maana tunaostiri tunatozwa mahari makubwa mno,wakati aliyebikiri hafikii hata robo ya mahari.
  8. U

    Aliye bikiri ndie alipe zaidi

    Jamani mm kwa maono yangu aliyebikiri ndie anaepaswa kulipa zaidi,kwa sababu muhusika anajulikana,na aliyeowa mwanamke ambaye si bikra,basi itakuwa kamstiri tu.
  9. U

    Kiu hii ya kutaka kufanya mapenzi mara kwa mara ni hatari

    Huyo mwanamke anakufanyia hivyo ili uchoke,na usiwe na mawazo ya ngono. hata mimi hufanyiwa hivyo na mke wangu mkubwa ili kunikomoa,kakusudia nikienda kwa bi mdogo akute mambo hayawi.ndivyo walivyo baadhi ya wanawake .Lkn mm nimeligundua hilo.
  10. U

    Hivi wacheza muvi za Ngono hutoka sayari gani?

    Unapolala Na mwanamke ambaye si mkeo Basi una act film ya ngono maana video yake hubaki kichwani mwako daima.
  11. U

    Nashauri vyeti vya ndoa viwe na kikomo(expire date)

    ndoa ni chuo pekee kinachotoa vyeti kabla mitihani
  12. U

    Ukiambia tuwe marafiki tu basi maana yake nini

    Nakumbuka mke wangu kabla ya kumuowa nilimkuta ana namba za cm nisizozielewa,nikimuuliza hunambia ni marafiki zake tu. Nikaona hakuna urafiki wa mwanamme na mwanamke. Nikampiga stop kuwasiliana na o
Back
Top Bottom