OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,575
Ukiondoa hisia na uoga wa ki imani!!!
Uko na point sana kabisa!!!!
Uko na point sana kabisa!!!!
Mkuu OLESAIDIMU wengi wamefungwa na mambo ya imani na kujikuta wakiishi maisha ya shida sana! Hii ni njia nyingine ya utumwa wa kifikra. Sumu za dini ktk mambo yote,likiwemo hili la ndoa,zimeharibu kabisa uwezo wa waafrika kuamua mambo yao. Mambo mengi wamefungwa na Imani.Ukiondoa hisia na uoga wa ki imani!!!
Uko na point sana kabisa!!!!
Ha haaa,umeona eeh..!? Halafu ukiona mnaendelea vizuri mnaongeza bundle lingine!
NDOA ni zaidi ya CHETI. Kama umemchoka mnaweza kutengana kwa muda. Tatizo ni endapo umeoa mtu usiyempenda, hapa itakula kwako.
Mkuu OLESAIDIMU wengi wamefungwa na mambo ya imani na kujikuta wakiishi maisha ya shida sana! Hii ni njia nyingine ya utumwa wa kifikra. Sumu za dini ktk mambo yote,likiwemo hili la ndoa,zimeharibu kabisa uwezo wa waafrika kuamua mambo yao. Mambo mengi wamefungwa na Imani.
ulivyo na ndoa ngumu sio kila mtu ana ndoa ngumu. kwa wengine ni paradiso, sasa hao utawaweka fungu gani? shida hizo ni za kwako wengine wanazisikia tu kwa jirani. Mtafute Mungu uponye ndoa yako na maisha yako.Salaam wana MMU,
Vyeti vya ndoa vinavyotolewa makanisani,misikitini na bomani vyote ni mali ya serikali. Nimejaribu kutafakari jinsi ndoa zinavyokuwa ngumu kila kukicha,kuna watu wanaishi maisha ya mateso sana katika ndoa zao kwa kuheshimu hivyo vyeti wakiamini ni kumkosea Mungu kana kwamba hivyo vyeti ni mali ya Mungu.
Kuepusha madhira yanayoendelea katika ndoa,napendekeza vile vyeti viwe na kipindi cha ukomo ili kuwaokoa watu wengi wanaoona aibu kujitoa katika kifungo cha ndoa.
Wanandoa wakifunga ndoa,wapewe miaka 5 ya matazamio kama mmoja wao katika hiyo miaka 5 atakuwa hajaridhika,anaondoka bila kelele. Kama kila mmoja atakuwa amefurahia maisha,utaratibu utawekwa wa kuongezewa muda.
Huu ni mtizamo wangu kutokana na kile nnachokiona katika jamii. Unaweza kuniona km mpuuzi hapa kwa kuandika haya,lakini yakikukuta utatamani ukiangalie cheti chenu kama kina expire date.
Nawasilisha.
ulivyo na ndoa ngumu sio kila mtu ana ndoa ngumu. kwa wengine ni paradiso, sasa hao utawaweka fungu gani? shida hizo ni za kwako wengine wanazisikia tu kwa jirani. Mtafute Mungu uponye ndoa yako na maisha yako.
ndoa ni chuo pekee kinachotoa vyeti kabla mitihaniSalaam wana MMU,
Vyeti vya ndoa vinavyotolewa makanisani,misikitini na bomani vyote ni mali ya serikali. Nimejaribu kutafakari jinsi ndoa zinavyokuwa ngumu kila kukicha,kuna watu wanaishi maisha ya mateso sana katika ndoa zao kwa kuheshimu hivyo vyeti wakiamini ni kumkosea Mungu kana kwamba hivyo vyeti ni mali ya Mungu.
Kuepusha madhira yanayoendelea katika ndoa,napendekeza vile vyeti viwe na kipindi cha ukomo ili kuwaokoa watu wengi wanaoona aibu kujitoa katika kifungo cha ndoa.
Wanandoa wakifunga ndoa,wapewe miaka 5 ya matazamio kama mmoja wao katika hiyo miaka 5 atakuwa hajaridhika,anaondoka bila kelele. Kama kila mmoja atakuwa amefurahia maisha,utaratibu utawekwa wa kuongezewa muda.
Huu ni mtizamo wangu kutokana na kile nnachokiona katika jamii. Unaweza kuniona km mpuuzi hapa kwa kuandika haya,lakini yakikukuta utatamani ukiangalie cheti chenu kama kina expire date.
Nawasilisha.
Mungu yupi huyo unayemsema hapa!? Unamsema Mungu ambae amewezesha hata shetani kuwepo?? Huyo mbona hayupo labda km unamjua Mungu mwingine. Suala la uimara wa ndoa ya mtu si la kujisifia hapa. Usifikiri kila mtu anapoandika hapa anaandika juu ya maisha yake. Wengine tunaandika kupata maoni zaidi juu ya kile tunachofikiri.ulivyo na ndoa ngumu sio kila mtu ana ndoa ngumu. kwa wengine ni paradiso, sasa hao utawaweka fungu gani? shida hizo ni za kwako wengine wanazisikia tu kwa jirani. Mtafute Mungu uponye ndoa yako na maisha yako.
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]Salaam wana MMU,
Vyeti vya ndoa vinavyotolewa makanisani,misikitini na bomani vyote ni mali ya serikali. Nimejaribu kutafakari jinsi ndoa zinavyokuwa ngumu kila kukicha,kuna watu wanaishi maisha ya mateso sana katika ndoa zao kwa kuheshimu hivyo vyeti wakiamini ni kumkosea Mungu kana kwamba hivyo vyeti ni mali ya Mungu.
Kuepusha madhira yanayoendelea katika ndoa,napendekeza vile vyeti viwe na kipindi cha ukomo ili kuwaokoa watu wengi wanaoona aibu kujitoa katika kifungo cha ndoa.
Wanandoa wakifunga ndoa,wapewe miaka 5 ya matazamio kama mmoja wao katika hiyo miaka 5 atakuwa hajaridhika,anaondoka bila kelele. Kama kila mmoja atakuwa amefurahia maisha,utaratibu utawekwa wa kuongezewa muda.
Huu ni mtizamo wangu kutokana na kile nnachokiona katika jamii. Unaweza kuniona km mpuuzi hapa kwa kuandika haya,lakini yakikukuta utatamani ukiangalie cheti chenu kama kina expire date.
Nawasilisha.
Wewe ndo rudia kusoma kilichoandikwa. Kwanza huu si utafiti ni maoni binafsi na nimeandika. Kuhusu watoto km ungesoma na kuelewa wala usingeuliza hilo swali,hivi mtoto aliyezaliwa kwa wazazi ambao baba ni mlevi,anapiga watoto na mke,anatukana bila kujali km kuna watoto,akiwa amelewa anaweza kusimama na kukojoa mbele ya mtoto wake wa kike. Hiyo ndoa ina faida gani kwa malezi ya watoto hata km mama atabaki!!?? Ndoa km hiyo lazima itenguliwe kuwaokoa hao watoto.Sasa na watoto watakao zaliwa ndani ya miaka hiyo mitano watalelewa na nani ? Au ndio unataka watoto wamtaani waongezeke? Pia unadhani ndoa inapo vunjika jinsia gani inateseka zaidi na watoto?
Kafanye utafiti wako tena urudi hapa tuendeleze mjadala
Mtu yoyote mbishi haweza pata maendeleo au kuelimika, sasa wewe baki na ubishi wako hapo na kwa tabia yako ya ubishi hauta elewa mengi bali utabakia hivyo hivyo na uelewa wako finyuWewe ndo rudia kusoma kilichoandikwa. Kwanza huu si utafiti ni maoni binafsi na nimeandika. Kuhusu watoto km ungesoma na kuelewa wala usingeuliza hilo swali,hivi mtoto aliyezaliwa kwa wazazi ambao baba ni mlevi,anapiga watoto na mke,anatukana bila kujali km kuna watoto,akiwa amelewa anaweza kusimama na kukojoa mbele ya mtoto wake wa kike. Hiyo ndoa ina faida gani kwa malezi ya watoto hata km mama atabaki!!?? Ndoa km hiyo lazima itenguliwe kuwaokoa hao watoto.
basi magadi nawe punguza asira na ugwadu wako bnMatikaC
Haswaaa!! Nawashangaa kuna watu eti wanaona kitu cha ajabu! Mbona kuna nchi zimeruhusu ndoa za mkataba!? Binadamu aliyekamilika,anabadilika kutokana na mazingira!