Recent content by Ukaridayo

  1. Ukaridayo

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Ndiyo mana mimi kwenye simu natumiaga third part app then nabadili zisome kwenye mbps na siyo MBps ili roho yangu irizike nione live speed ninayoipata,, by default ile feature ya simu inasomaga MBps huwa siipendi naona bora nitumie hizo third apps
  2. Ukaridayo

    JamiiForums Tanzania Fuel consumption: Harrier, Model; XU10 2.4L; YEAR 2002

    Kama kichwa Cha hbr kinavyojieleza, mwenye uzoefu na hicho chombo Cha usafiri hasa ktk mizunguko ya kawaida town (mwanza) Matumizi ya mafuta Pamoja na changamoto zingine kama zipo. Karibu.
  3. Ukaridayo

    JamiiForums Tanzania malipo ya mnara wa simu kila mwezi

    Wakuu habari zenu Ningependa kujua ama kufahamu kwa mwenye uelewa kuhusu jinsi makampuni ya simu yanavyolipa pale wanapokuwa wamekodi/wameweka mnara wao kwenye eneo lako. eneo ni dsm: juu ya ghorofa mnara ni halotel.
  4. Ukaridayo

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kunlock airtel zlt M30 pocket MiFi

    Asante.. ni hilo dogo hapo juu lililotoa namba.. linajiita ''Website design''
  5. Ukaridayo

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kunlock airtel zlt M30 pocket MiFi

    Shangaa!! Kuna mwamba humu humu kwenye majukwaa ya jamii forum hakuwa na tamaa yeye alifanya kazi nikaja kumlipa baada ya kazi.. Tena ilikuwa router ya 5G Uaminifu alioufanya na kuniamini nilimlipa zaidi. Mpaka leo Yule jamaa amekuwa MTU wangu wa nguvu.. Siyo hizi takataka zenye njaa za k***ge
  6. Ukaridayo

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kunlock airtel zlt M30 pocket MiFi

    Jamaa nilimpigia simu tukapeana maelekezo then akaniambia gharama ni elfu 12.. Nimtumie ili aweze kupata data za kudownload file/software Nilipomtumia badala aseme amepata.. Ikawa mpaka nimpigie Mimi. Nikampigia akasema amepata.. Akaniomba nimtumie picha ya details ya nyuma ya MiFi whatsapp...
  7. Ukaridayo

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kunlock airtel zlt M30 pocket MiFi

    Kwahiyo ukaona Unitapeli hiyo elfu 12.. Ndiyo mana vijana hamfanikiwi kwakukosa uaminifu kwenye vitu vidogo vidogo..
  8. Ukaridayo

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kunlock airtel zlt M30 pocket MiFi

    Mwenye kujua namna ya kunlock hiyo MiFi anisaidie
  9. Ukaridayo

    JamiiForums Tanzania Msaada wa unlock Airtel router (5G smart box)

    Mimi kuna mwamba humu humu kwenye majukwaa ya jamii forum alinisaidiaga ku-unlock router yangu.. Tena anakuelekeza mwenyewe mnafanya kwa kutmia simu yako.
  10. Ukaridayo

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu ubora wa vifaa vya HAVELLS

    Nashukuru sana..
  11. Ukaridayo

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu ubora wa vifaa vya HAVELLS

    Shukrani
  12. Ukaridayo

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu ubora wa vifaa vya HAVELLS

    Habari wana jamvi.. Hivi karibuni nategemea kufanya wiring kwenye mji wangu, lakini kuna mdau alinipa taarifa kuhusu vifaa vya tronics, kuwa kwa sasa tronic inazlishwa na mchina hivyo uhakika wa ubora ni mdogo. Akawa amenigusia kuhusu Havells akidai kuwa kwasasa bado inazalishwa na mhindi...
  13. Ukaridayo

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    *148*05# Zantel uni offer
  14. Ukaridayo

    JamiiForums Tanzania Ijue historia ya mgogoro kati ya Iran na Marekani

    Hizi ndizo hbr tunazotaka kuziskia sasa 2020 ingawa ni hbr nyeti kuliko nyeti tulizo nazo Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom