Huyu baba leo kaamka na battle dhidi ya Mungu isitoshe anaiwekea battle nguvu ya asili na Supreme being maana anaeleweshwa haelewi. Sasa ngoja kimlambe asubuhi hii au mchana. Utatuletea mrejesho.
Alijua kuwa atabadilika ila ikabidi aruhusu yatokee hayo ili kila mtu apimwe imani yake na kama hiyo haitoshi akamtuma mwanae wa pekee YESU aje awatangazie habari njema. Kiufupi aliruhusu yatokee ila akaleta solution (YESU)
Hapo hata mimi nilikuwa nawabana kwa kusema kwamba, mna uhakika gani kuwa nitafaulu huu mtihani? nikifeli je... nia yangu ilikuwa nifanye written tu ila wakakaza
Habari wakuu, mimi ni mtanzania mwenye miaka 29. Leo nimeenda kufanya interview ya forest officer II chini ya TFS kituo kikiwa chuo cha TIA.
Jambo la kushangaza watu wa utumishi wamenizuia kufanya kwa sababu wanasema mpaka mda ambao nitaitwa kazini (Ikitokea nimepata) nitakuwa na miaka 30...
Kila kitu unacho (Vigezo), bank statement, unajua kujieleza, umesoma (May be)... lakini unakataliwa!!? Jiangalie kuna kosa umelifanya la kuwadharau hao watu pori wa Kigoma ambao umesema hawajui kujieleza na Mungu anakuadhibu pasipo wewe kujua ... TAFUTA PASTOR ILI UTUBU HII DHAMBI.
To you JF members, hivi mnajua kuwa mkimjibu ndo mnazidi kumpa exposure!!? Just chill guys na uzi wake msiuguse halafu muone kama atakuja kurudi tena humu ndani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.