Recent content by uhuru50

  1. uhuru50

    Mapato ya Bandari kushuka, wengi sasa kupitia Mombasa

    Labda nisaidie kidogo mizigo iliyohama ni ya congo na kosa kubwa ni congo kuongizwa kwenye mfumo wa EAST AFRICA wafanyabiashara hawakupenda huo mfumo utumike congo
  2. uhuru50

    Kadi za ACT zagombaniwa kama njugu Arusha mjini

    Hiyo audio kwel ipo hata mm ninayo mkuu nipe namba yako nikutumie
  3. uhuru50

    Rostam Aziz anavyompiga tafu rafikiye Lowassa

    Jaman naona video ya matangazo ya mgombea mwingine na lowasa halaf tuangalie dakika mm siamin hili naona ni uzushi tuu na chuki Ndio ile ya Malima kusema mengi anajipendelea kwenye taarifa zake yale yalikuwa madai ya kijinga kabisa
  4. uhuru50

    Lowassa kizaazaa; Boda boda wakinga jaribio la kudhulumiwa ujira wao

    Jaman siku hizi kuna mambo ya kisasa huyu jamaa atuonyeshe picha za maandamo ya boda boda kwenda kwa mkuu wa mkoa unajua hakuna msafi labda nimkumbushe kidogo , Membe na kashfa ya pesa kutoka libya na ile kashfa ya Mkuu wa Itifaki kujaribu kuiba bilion tatu akaaunda tume ichunguze matokea...
  5. uhuru50

    Dola imefika 1860 toka 1200 mwaka 2005

    Mafuta yamefika 1700 kutoka 840 mwaka 2005. Nyama imefika kilo 6000 toka 1800 mwaka 2005 sukar na mchele tola 650 /700 mpaka 2000/2500 maharage mboga ya wanyonge toka 240 mpaka 1500/ yaan hii serikali haina hata huruma mishahara inakopa mifuko ya wastaafu haina pesa TRA kwa mwezi wanakusanya...
  6. uhuru50

    Mwizi wa kutumia pikipiki achomwa moto

    Unajua huwez kuumia na hawa wez mpaka wakuibie yaani wanakera sanaa
  7. uhuru50

    Mike Mushi wa JamiiForums kwenye kipindi cha MKASI

    Kila binadam ana kitu kilicho karibu mdomon kwake mwingine hasemi bila kutukana kwahiyo usijal kaka tafuta mkaliman
  8. uhuru50

    Ushauri wa wazi kwa J. J. Mnyika (Mb)

    Wataje tuu kama mahanga na wengine ila mkaguz mkuu wetu inasemekana hana CPA
  9. uhuru50

    Katiba Mpya: Askofu Kakobe ampelekea Rais Kikwete ujumbe wa wazi kutoka kwa Mungu

    Hata mm ndugu yangu sielew kabisaaa
  10. uhuru50

    Mshahara wa Nehemia Mchechu wa NHC ni USD 19,000 kwa mwezi

    Nan ameona kodi yake anayolipa ? Msilete mada zisizo na uhakika kwa hali ilivyo huyo mshahara wake haugusi kabisa anatumia marupu rupu na kamishen zake za mikataba ya majengo
  11. uhuru50

    Sababu Zinazomfanya Reginald Mengi Achukiwe Na Vigogo Wa Serikali Ya CCM Ni Hizi Hapa

    Kaka upo sahihi sana unajua mtu unaweza kuandika jambo lakin likawa halina mashiko hii taarifa yako ni fupi mno ila ina upana wa hali ya juu kias kwamba inatakiwa kuitafakar tuu na kupata uelewo sahihi
  12. uhuru50

    Kikwete, humkomoi Mengi bali unaikomoa CCM

    Mm kotee huko sipo ila nahoji ile kauli ya mhongo kuwa watanzania hawana uwezo wa kuwekeza kwenye vitali vya gesi ili hali gesi ni yetu ardhi ni yetu huu ni ujinga kabisa
  13. uhuru50

    Dudugwa la NHIF ni msumari mwingine katika jeneza la CCM

    Mm NTAKUWA BA HOJA TOFAUT KIDOGO ILA INALINGANA NA WIZ HUU,KILA MWAKA KUNA WIKI YA NENDA KWA USALAMA MAGAR YANAUZIWA STIKA KUANZIA 5000/NA KUENDELEA SWALI LANGU NI HIZI PESA NANI ANAJUA JUMLA YAKE NA MATUMUZ YAKE NI YAPI MWAKA JUZ ZILIIBIWA STIKA ZA THAMAN YA ZAID YA MILION 300/ SASA TUJIBIWE...
  14. uhuru50

    Wazee wa Dar: Tulitaka kumuuliza Rais

    Ki ukwel hayo maswali hakuna wa kuyajibu katika serikali hii akitokea wa kuyajibu CCM itatawala milele
Back
Top Bottom