Sasa kama shule inaitwa uhuru ikiwa uhuru hakuna hamuoni kwamba ni hatari zaidi kuliko hata huo moto.
Mimi naona labda wajaribu kubadilisha jina la shule
Hapo nimekuelewa mkuu ila kwenye kupatwa na shida nyumbani c anaweza akataka kujiridhisha. Nikimwambia moja Kwa Moja kuhusu loss c ndio itakuwa rahisi kuelewa
Wakuu Mimi nafanya kibarua Cha uwakala wa miamala. Kwakuwa bosi wangu aliweka mtaji kidogo mke wake aliniongeza kama laki tatu hivi japo alikuwa hajui kiasi Cha mtaji.
Aliniongeza Kwa makubaliano ya kutumia elfu2 Kila siku na Mimi nikijuwa kuongezeka Kwa kiasi hicho Cha mtaji kitanipa na Mimi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.