Recent content by ugwe kujhele

  1. ugwe kujhele

    JamiiForums Tanzania Zijue baadhi ya sababu: Kwanini hupaswi kumuoa mwanamke askari

    mpapai haufai kwa mbao, nimecheeeeeeeeeeeka. maisha lazima yasonge
  2. ugwe kujhele

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi: Sheikh Ponda ajisalimishe Polisi ndani ya siku 3, vinginevyo hatokuwa salama

    sitanyamaza hata nikilazimishwa kunyamaza kwa mtutu wa bunduki. hakuna mwenye mamlaka ya kuzuia fikra za watu zisifanye kazi. mbona mkulu yy viwazo uchwara vyake havipingwi isipokuwa sisi tusio na ulinzi wa SMG
  3. ugwe kujhele

    JamiiForums Tanzania NYARAKA: Wizara ya Madini iliidhinisha thamani ya Almasi ya Sh. Bilioni 14 kama thamani ya awali kusubiri mnada Ubelgiji

    hapo kweny court room drama. nadhani kwa tanzania maisha yako simplified kuliko mahali pengine hususani kwenye uwanja wa upigaji pesa aka mburo
  4. ugwe kujhele

    JamiiForums Tanzania Kuzuia maombi ya kiroho juu ya afya ya Tundu Lissu ni kujitafutia laana

    SAID AS IT IS SAID. HAKUNA KUZUIA MAOMBI YA LISSU KWA DEFENDER OTHERWISE TUSIWE NA DINI KABISA. WHY THIS HYPOCRISY BY THE RULING SYSTEM????
  5. ugwe kujhele

    JamiiForums Tanzania Hali ya kisiasa nchini: Je, ni bora tukae kimya?

    TABU TUPU. TLIKOTOKA NI MBALI TUENDAKO WALAKINI
  6. ugwe kujhele

    JamiiForums Tanzania Hivi ni mimi tu au kuna wanawake wengine mmeshawahi kupitia?

    Mungu ni mwema hatokuacha ktk magumu unayopitia. Simama ktk haki yake naye atatenda
  7. ugwe kujhele

    JamiiForums Tanzania Mbeya - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    mbeya mjini kata ya mwakibete vichinjio vimefanya kazi halali. rais, mbunge na diwani ni ukawa-Chadema.
  8. ugwe kujhele

    JamiiForums Tanzania Ni Heka heka mitaani leo, walimu wamelipwa madeni yao yote + Posho ya Uchaguzi hatupumui

    wewe kama nani? Una ndugu elimu? Acha kupumbaza watu. Wenye fani ndo tunaojua. Hakuna kitu cha namna hiyo. Naidai serikali na sijaona lolote kweny mshahara wa mwezi huu.
  9. ugwe kujhele

    JamiiForums Tanzania Alama za nyakati baada ya 25 oct. 2015

    Soma kilchoandikwa na sio kuangalia kichwani umehifadhi nn dhidi ya fulani
  10. ugwe kujhele

    JamiiForums Tanzania Magufuli na mradi wa laptop kwa kila mwalimu,hivi tatizo ni ukosefu wa laptops?

    thumb up thumb up
  11. ugwe kujhele

    JamiiForums Tanzania Chenge and Co Wafurahishwa na Ahadi (kiapo) cha Magufuli

    tuelimishane kadri tutakavyoweza ili kulikomboa taifa letu dhidi ya ccm
  12. ugwe kujhele

    JamiiForums Tanzania UKAWA itabidi wajiandae kumuondoa Magufuli 2020 kirahisi

    ukawa hureeeee
  13. ugwe kujhele

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Nimemchomea mke wangu kazini kuwa anatumia cheti feki

    da! thumb up, thumb up, thumb up kaka. maandiko matakatifu yanatukumbusha kuishi na mwanamke kwa akili
Back
Top Bottom