Recent content by Ugoromkali

  1. Ugoromkali

    JamiiForums Tanzania Mkasa wa kusisimua wa Rojaz katika kipindi cha Sitasahau cha Radio Free Africa

    Kati ya watu mapoyoyo huyu rojaz ni namba 1 mtu unakuwaje mjinga mjinga kiasi hicho? Kha!
  2. Ugoromkali

    JamiiForums Tanzania Haya ndiyo mambo ya ajabu niliyowahi kuona na kushuhudia kwa macho yangu, sitoyasahau katika maisha yangu

    Sasa hapo mchawi ni nani kati yake anaekataa upo na wewe unaoupigia chapuo kuwa uchawi upo 😁😁 hapo mchawi unaonekana ni wewe jomba
  3. Ugoromkali

    JamiiForums Tanzania Makinika na mijusi wa ndani ya nyumba!

    🤣🤣🤣
  4. Ugoromkali

    JamiiForums Tanzania Hivi Mungu aliwaza nini mpaka akaamua kututupia Ibilisi duniani!

    Hakuna shetani, hakuna jehanam, hakuna peponi, hakuna majini, hakuna malaika💪
  5. Ugoromkali

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mungu yupo?

    Katika wachangiaji woote humu ndani, wewe pekee ndio umeongea point 👏na kwa point hii, huu mjadala naona ufungwe tu sababu mkuu umemaliza kila kitu, binadamu hakuna tunachokijua kuhusu ulimwengu huu ilichobakia tunarukaruka tu assumptions and imaginations nyiingi
  6. Ugoromkali

    JamiiForums Tanzania Nina wasiwasi idadi ya wasiojua kusoma na kuandika inazidi kuongezeka nchini Tanzania

    Huyu bi mkora hana anachokijua maskini! Tatizo amelewa wanzuki ya madrasa 😂😂😂
  7. Ugoromkali

    JamiiForums Tanzania Nina wasiwasi idadi ya wasiojua kusoma na kuandika inazidi kuongezeka nchini Tanzania

    Haka kanakuaga kajinga siku zote 😂 usibishane na mjinga atakuambukiza ujinga wake wa ulevi wa madrasa
  8. Ugoromkali

    JamiiForums Tanzania Nina wasiwasi idadi ya wasiojua kusoma na kuandika inazidi kuongezeka nchini Tanzania

    😂😂😂 Amelewa na wanzuki ya madrasa
  9. Ugoromkali

    JamiiForums Tanzania Maswali magumu ya mwanafalsafa Epicurus kuhusu mwenyezi Mungu

    😂😂😂
  10. Ugoromkali

    JamiiForums Tanzania Maswali magumu ya mwanafalsafa Epicurus kuhusu mwenyezi Mungu

    Mkuu Scars nimekuvulia kofia uko vizuri sana katika kujenga hoja aisee itakuwa wewe ni genius halafu hutumii nguvu wala lugha za hovyo hongera sana
  11. Ugoromkali

    JamiiForums Tanzania Maswali magumu ya mwanafalsafa Epicurus kuhusu mwenyezi Mungu

    Un Ungepewa freewill kama uzaliwe au kutokuzaliwa hakuna freewill hapo 😂😂 eti freewill unaikuta baada ya kuja duniani!
  12. Ugoromkali

    JamiiForums Tanzania Kwanini Biblia imeandikwa kwa lugha ngumu?

    Mpaka sasa hii 2022 Kiranga hajapata jibu lake la kudhibitisha Mungu yupo? 😂😂Watu wamesanda
  13. Ugoromkali

    JamiiForums Tanzania Philosophy of Religion: Uthibitisho wa uwepo wa Mungu kwa hoja ya Ufunuo na maandiko matakatifu

    Ukweli mchungu ambao wengi hawapendi kuusikia
  14. Ugoromkali

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mungu hakurekebisha kilichosababisha shetani akaasi kabla ya kumuumba binadamu?

    Halazimishi kivipi? Kwani wewe kuja duniani ulitaka? Au ulijikuta tu duniani? Hivi unaelewa nachozungumza?
  15. Ugoromkali

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mungu hakurekebisha kilichosababisha shetani akaasi kabla ya kumuumba binadamu?

    Ndio maana nasema tumelazimishwa kuishi na kufuata matakwa ya aliyetufanya tuishi unakubaliana na hii kauli? Kwasababu tungelikuwa tunaulizwa iwapo unapenda au hupendi hizi mbilinge za hapa duniani basi ingelikuwa ni vyema sana na hapo hizo hukumu zingekuwa zinafanyika kwa haki, lakini from no...
Back
Top Bottom