Recent content by UGORO87

  1. U

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo karatu kwa wale wa kilindi handeni au morogoro sehemu yoyote.0789643594
  2. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa TZS 300BL kukamilisha majengo ya Serikali Jijini Dodoma

    Haya Mambo kwa kikwete mkapa mwinyi na nyerere hayapo.cjui kwann hizi awamu wameanzisha eti hela ya Samia hela ya magu.hela ni ya serikali.
  3. U

    JamiiForums Tanzania Mariam Ditopile: Tegeni sikio Jumapili Rais Samia ana jambo zito sana

    Kwa lipi sasa
  4. U

    JamiiForums Tanzania Robert Amsterdam hawezi kurudia tena kuwa upande tofauti na Palamagamba Kabudi, amejifunza somo kubwa sana maishani

    Naomba kuuliza mashahidi wataulizwa kwa lugha gani maana mawakili wa kizungu hawajui kiswahili
  5. U

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kujitoa CHADEMA rasmi kutokana na Mdude, najuta kumchangia

    😅😅😅😅
  6. U

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kujitoa CHADEMA rasmi kutokana na Mdude, najuta kumchangia

    Tuache utani tulipigania Sana chadema kwaajili ya ukatili wa magu ila kwa hili hapana mdude kakosea Sana ,tudai haki yetu kwa bussra SI kwa matusi Yale.mama ni mwelewa anapenda haki.
  7. U

    JamiiForums Tanzania Kisa cha abunuasi chenye kufikirisha

    Mh, happo Sasa ubunifu unahitajika Hi
  8. U

    JamiiForums Tanzania Historia hii itatubadilikia mbeleni kama tutaacha Tundu Lissu ashauriwe na mabeberu

    No tume huru no uchaguzi.km unayaogopa atakayofanya lisu kwa kutuchongea kwann hamtaki tume huru.kubalini tume huru mchezo uishe.
  9. U

    JamiiForums Tanzania GE2020 Freeman Mbowe usiwanyime wengine Ubunge kisa wewe hujashinda

    Sasa waende bungen kufanyaje maana watatukanwa watasemwa vibaya watatishiwa maisha wataambiwa wakala wa mabeberu mahawara watasekwa ndani.baadae wataambiwa waunge juhudi.haina maana kuwa na bunge la namna hyo.
  10. U

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM Karatu yarejesha Halmashauri baada ya miaka 20

    Karatu hapakuwa na uchaguzi bali uchafuzi
Back
Top Bottom