Kisa cha abunuasi chenye kufikirisha

Hadith za watoto
Hizi ni hadithi fikirishi na zilikuwa zinajenga kuwajenga watoto kiakili na uwezo wa kufikiri na kupanuka kiakili. Sasa hivi watoto wanasomea kujibu test na kukariri kwa ajili ya mitihani. Lakini kama haitoshi bado wanaiba mitihani kwa kushirikiana na walimu wao. Unategemea kuna atakayeunda hata baiskeli hapo? Midoli tuu ya kuchezea watoto inatoka China.

Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
 
naweza kusema shule ilikuwaga zamani
 
Nakumbuka bibi yangu alikua ananihadithia story za abunu wasi na alfu lela ulela. Enzi hizo tuko moshi chini ya msikiti wa riadha! Those were the good times! Leta na story ya "karamu ya abunuwasi"
soon naandika moja moja maana nnazo zote
 
Hizi ni hadithi fikirishi na zilikuwa zinajenga kuwajenga watoto kiakili na uwezo wa kufikiri na kupanuka kiakili. Sasa hivi watoto wanasomea kujibu test na kukariri kwa ajili ya mitihani. Lakini kama haitoshi bado wanaiba mitihani kwa kushirikiana na walimu wao. Unategemea kuna atakayeunda hata baiskeli hapo? Midoli tuu ya kuchezea watoto inatoka China.

Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
hebu na ww tutolee stori za abunuasi, nyie wahenga mliosoma vitabu hivyo mlitengeneza nini Cha maana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom