Habari wana jamii forum naomba msaada mwenye kujua kioo cha simu ya sumsung galax s8, au housing na kiooo maana kimepasuka chambele na cja nyuma , simu yangu imepasuka kioo ikiwa bado mpya naomba mwenyekujua vioo hivi vinapatikana wapi na kwa bei gani,
Habari wana jf naomba msaada nimekutana na hii app ya ku hack simu wakanipa maelekezo hadimwisho nikakuta kuna kuingiza code na hiyo code unailipia sh 46,000 wanasema unaweza kuhack namba ya simu na mwenye simu asijue, nikweli nataka kuhack namba kwasababu ninamume mchungaji mzinzi mno kila...
Habari wana jamii forum naomba kuuliza mtu mwenye kunua dawa ya kienyeji inayopunguza makali ya cancer . nina mgonjwa wa cancer ya kizazi ameshapata chemo kama mara 2 yakwanza ilikuwa mwaka juzi pamoja na mionzi , mwakajana chemal lkn hazioneshi kumsaidia kwanza ndo anazidi kuzidiwa maana...
Mkuu huo uzi haujafafanua ni unaelekeza jinsi ya kupata memory csrd yenye speed maana yangu ina gb 10 na ni class 10
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.