Habari wana jamii forum naomba kuuliza mtu mwenye kunua dawa ya kienyeji inayopunguza makali ya cancer . nina mgonjwa wa cancer ya kizazi ameshapata chemo kama mara 2 yakwanza ilikuwa mwaka juzi pamoja na mionzi , mwakajana chemal lkn hazioneshi kumsaidia kwanza ndo anazidi kuzidiwa maana alikuwa stage 2 wakati anaanza hayo madawa lkn hadi sasa ni stage 4, sasa naomba mwenyekujua dawa ya kienyeji inayoweza kumsaidia maana anamaumivu makali mno ambayo hata hayasikii dawa ya maumivu.asante
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app