Samahan Kama nitakukwaza.
Tangu mwanzo haujashauri jambo la Maana,ni Kama ushauri Wako unaongozwa na Chuki Fulani hivi dhidi ya wanaume.
My point ni kwamba hapa tunao upande mmoja,wa pili Hatuna.
Pili Kuna Watu wamediriki kumuita mwana muuaji, Mara anachangamoto ya Afya ya Akili,Nyie Nyie,Sisi...