Recent content by UFUNUO WA TANZANIA

  1. UFUNUO WA TANZANIA

    Tundu Lissu: Dr. Slaa ni muongo, watanzania mpuuzeni. Maneno yote tatizo ni Urais

    Amewahi kutangaza nia ya Kugombea ubunge Jimbo la karatu akiwa CCM. Jina lake likakatwa. Baada ya jina lake kukatwa akaamua kuhamia Chadema. Mwaka 2015 alitangaza nia kugombea urais kupitia CHADEMA jina lake likakatwa. BAada ya jina lake kukatwa akaamua kuhama chadema na kustaafu siasa. Je Slaa...
  2. UFUNUO WA TANZANIA

    Mpango wa wabunge kufisadi nchi kupitia posho na kiinua mgongo huu hapa

    Wabunge wetu Hawa wanataka hela Za kampeni. Mda umefika ubunge uwe kama udiwani tu. Wanajua hali ambayo tunayo kuwa hazina haina hela halafu bila aibu wanaleta huu ujinga na muhuri wao wa siri.
  3. UFUNUO WA TANZANIA

    Nyumba ya Askofu Gwajima imezungukwa na Polisi sasa hivi

    Katika Hali isiyo ya kawaida leo polisi wakiwa na magari ya defender wamezingira nyumba ya askofu Gwajima. Sababu ya Kufanya hivyo bado haijajulikana.
  4. UFUNUO WA TANZANIA

    Ngeleja atisha kanda ya ziwa, aongoza uchaguzi serikali za mitaa, awashinda watangaza nia ya urais.

    Nilikuwa nakuheshimu kihoja kwa kiasi kikubwa sasa heshima yangu inaelekea negative. Hakuna uhusiano kimantiki Kati ya vyote ulivyovisema na hoja ya msingi kwenye title. Sitaki kuamini kama unatumia jamvi kama sehemu ya kujifunzia kutengeneza hoja.
  5. UFUNUO WA TANZANIA

    One Struggle, Many Fronts. Forward ever, Backward Never... Tumeamua kuangalia mbele!

    Ndugu yangu Zitto! Nikihitaji nakala ya ilani na katiba vinapatikana wapi kwa huku Arusha? Au mna tovuti?
  6. UFUNUO WA TANZANIA

    Tamko la Jukwaa la Wakristo Tanzania kuhusiana na Muswada wa Mahakama ya Kadhi

    Naunga mkono hoja na Nipo tayari kujitoa kuitetea.
  7. UFUNUO WA TANZANIA

    ACT Wazalendo yapata viongozi Kitaifa, Anastazia Mghwira awa Mwenyekiti wa kwanza Kitaifa

    chama hiki kipya naomba wasemaje wake mtupe majibu sahihi yenye Dhana ya tafakuri tunduizi. Kwa kuwa Zito ana siku Saba tu katika chama hiki, kwa kuwa cheo alichopewa ndio cha juu kuliko vyote katika chama; kwa kuwa mnajiita ni wazalendo, ni sababu gani zimesababisha Zito apate nafasi kubwa...
  8. UFUNUO WA TANZANIA

    Askofu Kilaini: Nitazirejesha fedha za Rugemalira

    Ni heri arejeshe na pia ni kiwango kidogo ukilinganisha na thamani yake katika Jamii. Rudisha tu baba ili thamani yako idumu. Ndio waumini wetu tulio nao siku hizi.
  9. UFUNUO WA TANZANIA

    Zitto: Nashambuliwa, tunashambuliwa! PAC tunasema "Hatutetereki"

    Tupo pamoja msitetereke. Tanzania kwanza . Hongera kwa kazi nzuri.
  10. UFUNUO WA TANZANIA

    Warioba Anataka Nini Hasa?

    Acha unafiki. Warioba amekuwa kiongozi mwadilifu aliyelitumikia taifa hili kwa miaka mingi sana. Wewe unajeuri gani ya kutoa maneno hayo kwa kiongozi huyu ambaye kazi Yake imekuwa njema kwa taifa. Wewe umelifanyia nini taifa hili. Acha ujinga na unafiki wa kuwasema Watu.
  11. UFUNUO WA TANZANIA

    Kama takwimu Za tume si sahihi bunge la katiba livunjwe maoni yakakusanywe upya

    Kila siku nimejiuluza maswali kadhaa lakini nakosa majibu kwanza kwa nini tume ya katiba inaitwa ya warioba wakati ilikuwa ni ya kikwete na wote walikuwa ni wateule wake? pili Kama takwimu Za tume na ripoti zake hazina usahihi kwa nini serikali iliitisha bunge la katiba kwa kutumia mabilioni...
  12. UFUNUO WA TANZANIA

    Baada ya UKAWA kutoka nje,umeona tofauti ipi Bungeni ?

    Da Kweli hapo Goli kuingia lazima refa aamue au Mungu aingilie kati
  13. UFUNUO WA TANZANIA

    Huyu ndiye Kinana ninayemfahamu, mwalimu wa siasa na kiongozi mwenye Upendo

    Kinana ni msanii na bingwa wa kuigiza nyakati tofauti. Maigizo yake yanatusaidia nini? Tunaomba na mambo ayafanyayo sirini kuhujumu nchi ayaonyeshe pia kwenye maigizo Yake. Hatutaki atuonyeshe maigizo yasiyo na maana huku nyuma ya pazia ni muhujumu wa uchumi.
  14. UFUNUO WA TANZANIA

    UKAWA kupoteza Imani ya Wananchi na kuvurugika endapo wakiendelea kuwa 'kondoo'!

    Watu wawili hawezi kutembea pamoja wasipopatana. Heri kukaa peke yako kuliko kutembea na mtu msiyeelewana
  15. UFUNUO WA TANZANIA

    Mkutano na waandishi wa habari; Salamu za pongezi kwa rais Jakaya Mrisho Kikwete

    Sioni sababu Za kushabikia muungano. Kwa nini Tanganyika na Zanzibar ziliungana na Kama Tanganyika tumenufaika Vipi na muungano? Maana sababu Za kuungana zimejikita katika kudumisha udugu na ushirikiano wa miaka mingi. Hakuna hata sababu Za kiuchumi. Zanzibar ndio wanaonufaika na muungano na pia...
Back
Top Bottom