Recent content by ufisadi no

  1. ufisadi no

    Katibu mkuu CWT taifa ahukumiwa

    Nyama hizi hapa
  2. ufisadi no

    Naomba kujuzwa gharama za tiles hizi

    Mkuu naweza PATA MAWASILIANO yako pm?
  3. ufisadi no

    Michepuko msitufanye Benki ya Dunia

    Mkuu kufyatuliwa na Yale ya ki Ukraine ni kawaida sema wengi tunalia kimya kimya
  4. ufisadi no

    Michepuko msitufanye Benki ya Dunia

    Mkuu nchi ambayo Haina chama Cha upinzani ni hatari zaidi kuliko nchi yenye serikali mseto(kuishi bila mchepuko ni hatari zaidi kuliko mtu mwenye mitala)
  5. ufisadi no

    Rais Samia: Tutafanya mabadiliko kwenye Elimu. Mkuu wa Idara ya Elimu awe mmoja ndani ya Halmashauri

    Hata nafasi ya maafisa Elimu kata haijulikani Wana kazi Gani?
  6. ufisadi no

    Mpenzi wangu amefariki, nafikiria kuhamishia kambi kwa mdogo wake

    Usihamisha Kambi Bali kajenge kabisa kambi
  7. ufisadi no

    Mpenzi wangu kaniuliza swali, nimeshindwa kumjibu

    Mkuu chukua maamzi haraka na jitahidi uvunje record ya Filbert Bahi
  8. ufisadi no

    Kabla hujamuoa mfanyie majaribio yafuatayo

    Ya pili hii akiruka anapata 70% zilizobaki ataokoteza kwingine
  9. ufisadi no

    Natamani urudi hata kwa dakika tano mke wangu

    Kuna Cha kujifunza hapa hasa sisi wa baba
  10. ufisadi no

    Mke wangu tangu abebe ujauzito hana hisia za kimapenzi. Nateseka sana

    Mkuu huu ushauri unampotosha. Michepuko kazi yake nini?
  11. ufisadi no

    Mtoto wa mke wangu kaniunganishia kademu kazuri balaa

    Tungejua kwanza umri wako huenda umeolewa badala ya kuoa. Yamkini hata huyo mwanamke ULIYE naye uliunganishwa na huyo kijana
  12. ufisadi no

    Hapa nani alifeli kati ya mwanamke na mwanaume

    Mkuu hiyo siyo dezo kujisuluhu unaona ni kitu rahisi?
  13. ufisadi no

    Hapa nani alifeli kati ya mwanamke na mwanaume

    Wakuu habari za weekend. Mwaka 2001 nilikuwa Kijiji fulani nafanya kazi ndo first appointment na nilikuwa sijaoa,kutongoza sijui na nyege kama zote Hadi zimevunda. Nilipokuwa ninakaa palikuwa na Bomba,basi Kuna mdada akawa anakuja kuchota maji baadaye tukazoeana na hata sielewi ilikuwaje Hadi...
Back
Top Bottom