wakuu salam, tunawakaribisha wote UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM yombo 4, kuwakumbuka wenzetu wa rwanda, jumamosi sa 4 asubuhi yombo 4 kutakuwa na public talk ikiongozwa na Prof Maina na wengne toka ICTR karibuni sana
soft drinks will be given.
tukiwa kama chama cha Haki za binadamu tumeungana na LHRC kufuatilia hali tete ya wanafunzi asilimia 30.7 kukosa mikopo↲
Pamoja tunaweza toeni mawazo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.