Tuna mface Katibu mkuu wa Wizara ya Elimu(Mikopo )

Jul 3, 2011
8
0
tukiwa kama chama cha Haki za binadamu tumeungana na LHRC kufuatilia hali tete ya wanafunzi asilimia 30.7 kukosa mikopo↲
Pamoja tunaweza toeni mawazo
 

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
9,985
2,000
2nashukuru vijana kwa kuztambua haki zenu.ila nawaomben 2 aman itawale ktk kudai hzo haki.kila la heri.
 

Eshacky

JF-Expert Member
Apr 26, 2011
962
225
Yap! Hapo kitaeleweka, mi mchango wangu ni huu kwann, wasio na wazaz hawakuwapewa kipaumbele? Na km bajet ilikuwa ndugu, kwann hawakugaia asilimia mf. 50 ili kila mtu apate, hvyo ingepunguza mzigo huu mkubwa badala yake kila mzaz angejitahid kuchangia kile kilochabak?.
 

Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,531
2,000
tukiwa kama chama cha Haki za binadamu tumeungana na LHRC kufuatilia hali tete ya wanafunzi asilimia 30.7 kukosa mikopo&#8626;<br />
Pamoja tunaweza toeni mawazo
<br />
<br />
mmekosa kazi ya kufanya. Hao LHRC wameshindwa swala la DOWANS wamehamia mikopo.
 

SURN

JF-Expert Member
Sep 5, 2011
319
225
mkitambua kuwa msafara wa mamba na kenge wamo hamtamshangaa huyo jibwa.kazi njema wakuu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom