Recent content by Udochi

  1. Udochi

    CANON IR2204 photocopy machine inauzwa

    CANON IR2204 inauzwa TSh. 800,000/- tu, Inaprint, copy & scan (A3 & A4), Inahitaji service ya pickup roller tu ili kuvuta karatasi. Ipo Bagamoyo mjini. Simu: 0786737923
  2. Udochi

    Msaada: Kwa sifa hizi naweza kuwa Assistant Lecturer?

    Anza digrii nyingine ya kwanza, na usirudi nyuma. Ukimaliza, unga ya pili.
  3. Udochi

    INAUZWA Printer nzuri ya EPSON L3110 inauzwa.

    Inahitaji matengenezo ya Pickup roller ili iweze kuvuta karatasi. Ina hali nzuri sana. Ipo Bagamoyo mjini, Bei ni Sh. 200,000/- tu. Mawasiliano: 0717002989
  4. Udochi

    Toyota IST inahitajika

    Habari, Inahitajika IST rangi ya Silver au off white, namba E, ambayo haijapata ajali, isiwe na changamoto ya engine, ya gear box, wala kurudiwa rangi. Kwa mmiliki (siyo dalali) anayeiuza, njoo PM tufanye mawasiliano. Zingatia: Uwe mmiliki, siyo dalali.
  5. Udochi

    Inahitajika gari aina ya Toyota NOAH

    Habari wakuu. Inahitajika Toyota NOAH, rangi ya Silver au off white, namba E, ambayo haijapata ajali, isiwe na changamoto ya engine, ya gear box, wala kurudiwa rangi. Kwa mmiliki (siyo dalali) anayeiuza, njoo PM tupeane na namba kwa mawasiliano. Zingatia: Uwe mmiliki, siyo dalali.
  6. Udochi

    Msaada gharama za kuanza clinic

    Ukweli lazima usemwe mkuu. Kuna baadhi ya ndugu wana shukrani za punda. Wanaweza kummanipulate hata dada yako akaja kukuona ndezi pindi mambo yake yakiwa sawa.
  7. Udochi

    Msaada gharama za kuanza clinic

    Naona huyo binti anaanza kuweweseka mkuu. Msamehe.
  8. Udochi

    Msaada gharama za kuanza clinic

    Acha mikwara wewe.
  9. Udochi

    Msaada gharama za kuanza clinic

    Wawili haifai?
  10. Udochi

    Msaada gharama za kuanza clinic

    Kitendo cha mwana kumpiga mbupu dada yako, na kukupa msala wa kulea mimba, huku yeye akiendelea kupiga mbupu mademu wengine, na baadaye akipata mchongo aanze kukudharau ni cha kibwege sana.
  11. Udochi

    Msaada gharama za kuanza clinic

    Mimi najitolea, ila akipata chandarua ni yangu.
  12. Udochi

    Msaada gharama za kuanza clinic

    Vikindu ni Pwani, siyo Dar mkuu.
Back
Top Bottom