Recent content by udangeni

  1. U

    UKAWA nusura wazichape, kikao chavurugika. Ni kuhusu posho za Bunge

    Wapinzani njaa zao hazina turbo kama za sisiem
  2. U

    Flora Mbasha ajifungua, nani baba wa mtoto?

    Mama ndie anaejua wewe tuliza mshono
  3. U

    Lema: CCM haiwezi kuning'oa ubunge Arusha

    Hakuna mtu yeyote anaeweza kumtoa Lema Arusha kwa sasa ni mbunge wetu na ataendelea kuwa mnaopiga kelele mnamuogopa sana lema na muendelee kuota hivyo hivyo na asiposhinda unitafute nakupa mil moja cash.Mimi niko Arusha na kwa hili la lema kutokushinda ni mawazo ya wanasisiem na sio ya makamanda...
  4. U

    UPDATES: Mgomo wa Madereva - Maeneo mengi nchini usafiri ni shida! Mei 04, 2015

    Arusha ni shida ila nchi hii bila migomo haiendi
  5. U

    Rombo hatuhitaji Mbunge wa kukaa Dar mara hii, hizi ni Sifa za mbunge mtarajiwa

    Mleta mada hajafikiria vya kutosha hata mfanyabiashara anaekaa rombo tu au kijijini tu huwezi mfananisha na anaeenda dubai au mfanyabiashara wa dar.Lazima tuelewe alieleta mada ana uelewa gani nafikiri amezoea kazi za manual zaidi uwepo wa mtu eneo husika hakuna maana ni mfanisi mzuri hii ni...
  6. U

    Kumradhi Mh. Lema, Mlango uloingilia tuliuacha wazi na sasa waweza toka tu

    Nataka niwaambie nyie mliotumwa na ccm hakuna mtu yeyote aliyeko hai anaeweza kulichukua hili jimbo kama sio lema,Kama ulitoa mil ukitegemea malipo ulikosea na hautalipwa ww rudi ccm kwani ndiko ulikokuwa.Katika maisha hakuna mafanikio kama kujiamini Lema ndie ameifanya Arusha iwe kama ilivyo...
  7. U

    CCM hawana ubavu wa kumfukuza Lowasa

    Kuna tetesi kuwa ccm kitamvua uanachama Lowasa nataka niwahakikishia hawa jamaa hawajawahi kumfuta hata balozi wa nyumba kumi na halitawezekana kwa lowasa.Kama tuna kumbukumbu walishasema kuvua gamba hawakuthubutu kugusa hili jiwe la msingi na kwa hili halitatokea labda wamsimamishe...
  8. U

    Ujumbe toka Kanda ya Ziwa kwa wanaume wa Dar es salaam

    waambieni waje Arusha wao ndio watampigia cm RPC aje awasaidie sio cc watu wazima.Kumbia sio ujinga ila mngejipanga hapo mbele wengine na mawe na wengine vibao vya mbao na kuvunja matawi ya miti mnawazibiti duu dar waoga
  9. U

    Ujumbe toka Kanda ya Ziwa kwa wanaume wa Dar es salaam

    Nasikia wanaume 13 wa dar wakubwa walikutwa chini ya vitz wamejificha jiulize waliingiaje.Hivi hayo mabody mnaoyoendea gym mnatongozea au nn kazi ya nguvu kidogo au ya kutumia akili mnaingia chini ya vitz wote.duuu
  10. U

    Ajali mbaya yaua eneo la Tengeru, Arusha

    ni majonzi kila siku ni majanga
  11. U

    Tumuangushe Godbless Lema 2015

    Shamba likikushinda liache masisiem mnajua lema ndie tatizo la nyie kulichukua hili jimbo mnajifanya mnatushauri tummwage lema ili mshinde tangu lini mmekuwa na huruma na chadema kwaniArusha sisi wote ni chadema.Mtakaa sana.Katika maisha hakuna msaada mkubwa na maendeleo kwa yeyote kama mtu...
  12. U

    Maswali 7 Ya Godbless Lema Kwa Polisi-Mauaji ya Mtuhumiwa wa Mabomu Arusha

    Hivi nyie masisiem mmekuwa kama isis.Mnalaumu na kuhukumu hata walio na haki.Lema anatetea wale wasio na haki au wasioweza kujitetea na wasioweza tena kusema,Hakuna mwenye haki ya kuua hata kama anaeuawa nae kaua tukiruhusu polisi hawa wauae bila kusemwa tutauliwa na ndugu zetu watauliwa sana na...
  13. U

    CHADEMA kufungua kesi mahakamani kupinga katiba inayopendekezwa

    Watawala wameshatutia hofu na walijua njia rahisi ya kutawala ni kumjaza woga anaetawaliwa na hili wameshinda.Ila hakuna dhambi mbaya kama woga.
  14. U

    Mtuhumiwa wa ulipuaji mabomu Arusha auawa na Polisi akijaribu kutoroka

    Inashangaza R.P.C kadanganya eti kapigwa risasi ya mguuni akafariki wakati anapelekwa mt meru hosp uongo wa hali ya juu.Wamekuwa mahakimu hawa
Back
Top Bottom