Wanaforamu. Mwakilishi wa watu ni mtu anayesikiliza hoja na changamoto za watu wake kisha kuzitafutia ufumbuzi ama kuziwasilisha kunakohusika (Bungeni) kwa ajili ya utatuzi zaidi. Huyu ni kiungo kati ya wananchi na Serikali yao katika mustakabali mzima wa maendeleo yao. Ni taabu kidogo kwa...
Vuguvugu la Uchaguzi linazidi kupanda kila tunapoikaribia siku ya October 28. Ni siku inayosubiriwa na watanzania walio wengi ili kutimiza haki yao ya Kikatiba
Kimsingi Uchaguzi ni mchakato unaoambatana na tofauti miongoni mwa makundi mbalimbali ya watu. Si tu kila chama kina imani ya kushida...
Wanaforum, Amani kwenu!
Ilani ya uchaguzi ni mwongozo unaobeba mambo yote yatakayotekelezwa na Chama husika kwa faida ya wananchi kwa kipindi cha miaka mitano (Tanzania). Kwa maneno mengine, Ilani ya uchaguzi ni dira itoayo mwelekeo na utaratibu wa kutekeleza ahadi za chama kwa wananchi...
Hii ni sheria kali sana kwa mtumishi wa umma atakayefikwa na Jambo lolote litakalosababisha aache kazi. Kwa jirani chaweza kuwa ni kicheko kwani hana msiba. Tuendelee kuchagua viongozi wakatutungie sheria zaidi.
Hii si sauti ya kwanza kupazwa juu ya mfumo wa elimu unaoonekana kupwaya katika kukidhi haja na maono ya watanzania. Ni mfumo tulioachiwa na Waingereza 1961 uliolenga kupata vijana wachache watakaohudumu kwenye Serikali yao tena katika ngazi za chini.
Ni mfumo unaomwandaa kijana wa Kitanzania...
Kampeni zinaendelea nchini. Wagombea wanajitambulisha kwa wananchi huku wakiahidi kuwaletea wananchi maendeleo ya dhati sambamba na kuboresha hali zao za kimaisha. Hili ni tukio muhimu sana katika Taifa letu linalotoa dira ya maendeleo ya Taifa na maendeleo ya wananchi kwa muda wa miaka mitano...
Ukweli watumishi hawa wanaumia sana. Yawezekana waliotoa adhabu wakaona kawaida tena sana lakini kwa kifupi wanyonge hawa na familia zao wanalilia mioyoni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.