Mdau hiyo inacover eneo la 90 square metres yaani kwa kifupi inaweza chkua ata room mbili kwa nyumba zenye size ya kawaida, mashine kubwa tumeweka bei ya kizalendo na wanunuzi wanalenga sana...
Habari wakuu.
Kwanza nikiri wazi kwamba mimi ni mpenzi mkubwa sana wa magari ya zamani.
Yaani nikiyaona barabarani huwa napagwa hasa likiwa bado kwenye hali nzuri kimuonekano na kwa imani yangu nahisi huwa yako imara sana.
Nimeunga unga na sasa nahitaji nichkue gari aina ya Toyota model za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.